Aliyeanzisha 4R anaweka mpira kwapani

Aliyeanzisha 4R anaweka mpira kwapani

The Legacy

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2022
Posts
8,276
Reaction score
16,218
Hakuna haja ya Salam

Alipo anzisha 4R nikasema wacha tuone.

Chadema wakachangua R moja tu ambayo ni reform kutoka kwenye 4R Zake mwenzetu kakimbia na mpira kwapani

Hataki reforms wala hataki kusikiliza mtu

4R zimegeuka RAV 4, mbio kama zote 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Hakuna haja ya Salam

Alipo anzisha 4R nikasema wacha tuone.

Chadema wakachangua R moja tu ambayo ni reform kutoka kwenye 4R Zake mwenzetu kakimbia na mpira kwapani

Hataki reforms wala hataki kusikiliza mtu

4R zimegeuka RAV 4
Tatizo vichwa
 
wee uliona wapi jitu linakula tu makonyagi nchi inajiendea yenyewe auto pilot , wanaoendesha wenyewe kina mwigulu SHAME. ukiendeshwa zaidi na tumbo akili inakuwa haipo kabisa masiisiiemu yamebaki kulialia tu kutumia mapolisi form four failure.
 
Back
Top Bottom