Aliye Uliza Mch. Msigwa Alipewa na Nani Uchungaji Angaliye hoja zake Sasa Hivi

jnuswe

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,270
549
Naomba amuangaliye hoja zake ndo atajua ni mchungaji wa kweli au si wa kweli
 
Nchemba kajibiwa na Mchungaji Msigwa, Nchemba anapenda kujisifu na kujiona anajua kuliko wengine ni ulimbukeni wa akili na ya elekea fedha za EPA zinampa jeuri
 
ole wako wewe joka mkuu wa majoka, maana maneno yako utatakiwa kuyatolea hesabu yake hivyi karibuni, heri yenu ninyi watakapo washutumu na kuwanenea maneno mabaya ya uwongo furahini maana zawadi yenu ni kubwa mbinguni. Pia nikupongeze kwa kutambua kwamba kuna wachungaji wa Kikristo na wachungaji wa --- ulio waacha bila kuwataja hapa.
 
Kama hoja za bunge na michango ya bungeni inaruhusiwa kutaja, maneno ya kidini kama pepo, shetani, wachungaji, maaskofu, masherk, maimamu' n.k, ujue siku za uharibifu zimekaribia (asomae na afahamu) Tanzania inaelekea pabaya ndugu zanguni, hizi dini ni zawakoloni walizitumia ili watutawale na kutuhujumu, ndo likaja lile neno kwamba mtu akikupiga upande huu mgeuzie na wa pili akupige tena, yaani mkoloni akikufanya mtumwa, mpe na malighafi kama maliasili, n.k, lakini ukweli tujiulize sisi wenyewe kwamba tunajenga ama tunabomoa, unapochoma shule ya misheni ama hospital ya misheni watoto wako watasomea wapi? Je? Unataka kutudanganya kwamba Kcmc,bugando,seliani, mtakatifu agostino, hakuna mtu wa dini tofauti anae hudumiwa huko? Ama kufanya kazi huko? Mbona twajimaliza wenyewe? Mimi naunga mkono mia kwa mia tisa kwamba muungano uvunjwe tukajipange upya ili mzanzibari akishindwa kutibiwa mnazi mmoja apelekwe oman na sio muhimbili.
 
Aisee amesema huwezi kufanya maombi ili uchumi ukue.
Akaendelea kulonga hata mimi chungaji sifanyi ujinga kama huo. Paulo mtume anasema "Na asiye fanya kazi na asile" na siyo asiye fanya kazi aombewe.
Sisi wachungaji kazi yetu ni kuombea wazinzi na wanachukua wake zawatu..
Nazani kamkuna mtu.... ahsante msigwa.

kawapiga kijembe DR SLAA & MWIGULU &ZITTO (chifupa amina)
 
Kama hoja za bunge na michango ya bungeni inaruhusiwa kutaja, maneno ya kidini kama pepo, shetani, wachungaji, maaskofu, masherk, maimamu' n.k, ujue siku za uharibifu zimekaribia (asomae na afahamu) Tanzania inaelekea pabaya ndugu zanguni, hizi dini ni zawakoloni walizitumia ili watutawale na kutuhujumu, ndo likaja lile neno kwamba mtu akikupiga upande huu mgeuzie na wa pili akupige tena, yaani mkoloni akikufanya mtumwa, mpe na malighafi kama maliasili, n.k, lakini ukweli tujiulize sisi wenyewe kwamba tunajenga ama tunabomoa, unapochoma shule ya misheni ama hospital ya misheni watoto wako watasomea wapi? Je? Unataka kutudanganya kwamba Kcmc,bugando,seliani, mtakatifu agostino, hakuna mtu wa dini tofauti anae hudumiwa huko? Ama kufanya kazi huko? Mbona twajimaliza wenyewe? Mimi naunga mkono mia kwa mia tisa kwamba muungano uvunjwe tukajipange upya ili mzanzibari akishindwa kutibiwa mnazi mmoja apelekwe oman na sio muhimbili.

Unatafutwa na Warioaba anasema haya maneno yako yatasababisha hali ya hewa ichafuke mda wowote.
 
kwa kweli leo mchungaji ametukumbushia lile skendo la Igunga, la mtu fulani kufumaniwa na mke wa mtu. NImeipenda hiyo ya mchungaji............................
 
Nimemsikiliza Msigwa, kweli yule jamaa ni Matawi ya juu! Kalichana likiroba, John Komba livu na "Mzinzi" wa wake wa Wana-ccm wenzake, Mwigulu.
 
Back
Top Bottom