Aliye-solve case hii Tafadhali,

Aliye-solve case hii Tafadhali,

Mkuu unafungaje windows updates? Na mimi nina tatizo hili, yaani nikiunga pc na intanet mb zinakwenda mno
Ha hah

Umenifanya nicheke mkuu,

Huwa nafunga windows updates sababu windows 10 wana updates nyingi mno!

Sasa kuokoa data inanibidi nifunge.

Lakini sidhani kama hii ni tatizo maana baadhi zina vuta Updates Auto na zina hili tatizo.
 
Mkuu unafungaje windows updates? Na mimi nina tatizo hili, yaani nikiunga pc na intanet mb zinakwenda mno
Kwani kwanini usitumie Ubuntu kwa mfano? Kuna kazi gani peculiar unaifanya inahitaji Windows only?

Ku maintain Windows ni tata kuliko Linux
 
Hello,

Nipo na tatizo amabalo nahitaji solution kwa haraka,

Nahisi ni aina ya Virus ambao sijawafahamu, wao husababisha Apps za aina yoyote of the same Windows bits kuto run/rerun kwenye PC.

Nasema ni Virus sababu huambukiza kutoka PC moja kwenda PC nyingine. Nipo na Computer zaidi ya sita (6) zenye ku- run Windows 10 zenye tatizo hili na sijapata solution ya haraka, iwe online ama vinginevyo.

Mwenye aliwahi ku-solve tatizo hili tafadhali share nasi.



View attachment 1215164

Natanguliza Shukrani.


Mkuu kwanza pole,nilipata same problem juzi kati hapa,
Ptia uzi wangu kuna wadau walishauri solution mbalimbali.
.
 
Mkuu unafungaje windows updates? Na mimi nina tatizo hili, yaani nikiunga pc na intanet mb zinakwenda mno

Fuata steps Boss,

Click services

Screenshot (48).png



Scrow Down to Windows Upadate

Screenshot (49).png


Right click, select Properties

Screenshot (51).png


Then, select Disable from Startup type,

Screenshot (54).png


Finalize by clicking STOP, APPLY then OK.

DONE!!
 
Mkuu kwanza pole,nilipata same problem juzi kati hapa,
Ptia uzi wangu kuna wadau walishauri solution mbalimbali.
.
Ahsante sana Chief. Imeisha.
 
Mzee hizo Linux distros kwa beginners ni mzigo kwa sababu wengi wetu ni wazee wa window based OS[emoji23][emoji23][emoji23]

Uanze window, nenda ubuntu ukikomaa huko ndio uende na Linux distros kwa sababu ni mambo ya CLI tu
Achana na windows utapata sana tabu,tumia linux aziathiriwi kipumbavu
 
Watu huwa tunakosea sana kuhusu kuisha mapema kwa MB hasa kwa watumiaj wa pc.

Wengi wanadhan ni autiuodate bali kuna kitu kipo ndan yako ndio maana MB zinaisha na ukifukunyua na kukiweka ON hapo tatizo la MB utalisikia kwa jiran na hutowazia tena kudisable autoupdates
Mkuu unafungaje windows updates? Na mimi nina tatizo hili, yaani nikiunga pc na intanet mb zinakwenda mno
 
Mzee hizo Linux distros kwa beginners ni mzigo kwa sababu wengi wetu ni wazee wa window based OS[emoji23][emoji23][emoji23]

Uanze window, nenda ubuntu ukikomaa huko ndio uende na Linux distros kwa sababu ni mambo ya CLI tu
Hamna Linux unaweza ukaset iload CLI au GUI,windows zimetengenezwa kwa ajii yetu vilaza ila systems kubwa mfano Servers nyingi kwenye www ni Linux na Unix
 
Mzee hizo Linux distros kwa beginners ni mzigo kwa sababu wengi wetu ni wazee wa window based OS[emoji23][emoji23][emoji23]

Uanze window, nenda ubuntu ukikomaa huko ndio uende na Linux distros kwa sababu ni mambo ya CLI tu
Huu ni Uongo!
Windows iko tata ukilinganisha na Ubuntu kwa mfano. Mara ya mwisho kutumia Linux ilikuwa lini na ni Distro gani? Ukiweza Windows maana yake Linux utaielewa rahisi sana. Ni sawa na kusema Simultaneous equations ni ngumu sana heri kuanza na Calculus then ndio uje kwenye Substitution na Elimination...!

From Windows user since DOS/95/98/ME/NT/XP/VISTA/7/8 and now Win10 na Pia mtumiaji wa Ubuntu na other Linux distros since early 2000s.
 
Back
Top Bottom