Aliye na Updates za TPDC

baraker88

Senior Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
124
Reaction score
147
Wadau mwenye habari za kweli kuhusu TPDC watatoa lini shortlist yao.
 
Wizara ya Nishati na Madini ndo walivyo kaka. Wanaita watu kwa simu huwezi juwa kama wanaoitwa ndo walioomba au la!!! Stamico wamewaita watu kwenye usaili mpaka leo hakuna majibu.....subiria tu
 
Wizara ya Nishati na Madini ndo walivyo kaka. Wanaita watu kwa simu huwezi juwa kama wanaoitwa ndo walioomba au la!!! Stamico wamewaita watu kwenye usaili mpaka leo hakuna majibu.....subiria tu
kwani walishawaita watu for interview?
 
Stamico watu washaajiriwa so kama hujaitwa ujue umekosa
 
Tpdc subiria mpaka 3 months zipite ndo uulizie
 
watu hawana data.. wanaongea kwa experience na kudhania tu.
 
Wadau mwenye habari za kweli kuhusu TPDC watatoa lini shortlist yao.

Mkuu nina rafiki anafanya kazi hapo tpdc leo kaniambia kuwa bado hawajaita watu kwa interview...let us continue to be patient and trust God
 
Wadau mwenye habari za kweli kuhusu TPDC watatoa lini shortlist yao.

hawa walitoa nafasi mwaka 2012 wakaita inteview miez 6 baada ya deadline. wakatoa 2013 wakainta miezi 4 baada ya deadline. tukiforecast kwa kutumia hiyo trend, wataita miezi 2 baada ya deadline, so tutegemee kuanzia mwez aprl mwishon
 
Kaka naona umetembea na fact za ukweli
 
Haya mashirika hayana ustaarabu hata kidogo!kama yanaweza kutangaza nafasi za kazi, kinawashinda nini kutangaza waliochaguliwa au hata kushukuru tu watu kwa kujitokeza katika website zao!? inakera sana kusikia watu wapo kazini wakati ww ndo kwanza unajipanga kwa interview.
 
Mkuu, kwani wadau walishaanza kazi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…