figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,197
- 64,638
Yule askari aliyewaua wafanyabiashara wa madini alikamatwa?
kUNA UHUSIANO WA WAZI NA WA KIKAZI KATI YA MAPOLISI NA MAJAMBAZI..TULIOWAHI KUVAMIWA HII YOTE TUNAIJUA!..KAMA IGP HAJUI BASI RPC ANAJUA KUWA VIJANA WAKE WAHALIFU WANAJUA! NA NI KAMA WANASHIRIKI KUTUUA!wangeshindwa tungewashangaa maana na Police wengine wanajihusisha katika ujambazi! hivyo pengine wapo waliojua kilichoendelea na baadaye kama lilitolewa dau ikabidi nalo walilambe!
Jeshi la polisi wana vituko kweli. Mchina kauwawa jambazi kakamatwa, Mtanzania akiuwawa jambazi hakamatwi!! Huu kama si ujinga na upuuzi ni nini? Jeshi la Polisi la Tz. lipo kwa ajili ya kuwalinda raia wote wenjeji na wageni sio wageni tu ndio wenye kutendewa haki na si wenyeji.
Polisi tanzania ni watumwa, south beach yule kijana kauwawa yule mhindi muuaji hawakumchukulia hatua, now foreigner kauwawa ndo wanajifanya kielele.