Aliye elewa kibonzo cha Kipanya atusaidie

Aliye elewa kibonzo cha Kipanya atusaidie

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,433
1601272129665.png
 
Ni hali halisi ya ushabiki wa kisiasa Tanzania hasa watumishi wa umma. Wengi ni ACT au CHADEMA moyoni lakini wameuvaa u CCM nje kwa maslahi mapana ya maisha yao ya kila siku.

Hawa wote watafuata mioyo yao siku ya kupiga kura.
 
Kwa nje ccm, kwa moyoni ni ACT na Chadema

Nimemkumbuka maumivu ya Mama Minde uchaguzi Moshi Mjini miaka hiyo ya Ndesamburo
 
Back
Top Bottom