Alivyotumbuiza Diamond na wenzake Gabon

very nice dogo katuwakilisha,maana soka ndo hatuwezi tena limebaki midomoni tu.Namshauri dogo atoe ngoma yakisoka soka na mwakani atuwakilishe tena.
 
Watz bwana... wanapigana madongo wenyewe kwa wenyewe. Music unakuaje uhasama? Furahia music kama haupendi kaa pembeni...
 
Diamond ujaaliwe uhai mrefu yani taifa linajivunia we kijana japokua mahakimu wakidunia ni wengi na wana mihemuko ya ki team lakini habari wanayo tumuachie Mungu kazi za kuhukumu na kunyooshea wenzetu vidole kujiona wenywewe bora na hawana dhambi

mimi pumzihaiuzwi kama mtanzania mwenzio nakupongeza sana kwa juhudi zako unatugusa wengi kwa namna za kipekee mengine tumuachie maulana
 
'' When hate don't work they start telling lies '' ndicho walichobakiza haters, kusema uwongo. Show ilikuwa nzuri nzuri sana (beyond my expectations), naona kashamaliza majukwaa yote makubwa kwa Afrika MTV MAMA mara 3, BET AFRICA, AFCON plus Wimbo wa AFCON. Mwisho wa siku historia ishaandikwa na maneno yenu hayatoweza kulibadilisha hili, kwani wa kwanza ni wa kwanza. .
 
Diamond ujaaliwe uhai mrefu yani taifa linajivunia we kijana japokua mahakimu wakidunia ni wengi na wana mihemuko ya ki team lakini habari wanayo tumuachie Mungu kazi za kuhukumu na kunyooshea wenzetu vidole kujiona wenywewe bora na hawana dhambi

mimi pumzihaiuzwi kama mtanzania mwenzio nakupongeza sana kwa juhudi zako unatugusa wengi kwa namna za kipekee mengine tumuachie maulana
Amen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom