Nepheriandick
Member
- Apr 14, 2020
- 14
- 27
Habari Wana Jf Doctors
Kama kichwa kinavyojieleza hapo ni kwamba Nina mdgo angu Miaka zaidi ya saba imepita tangu mdgo angu aumwe na nyoka ambae hutukufaham ni wa aina , ailiumwa akiwa anaenda kufunga geti la uzio wa nyumba mida ya usiku, tulimpa huduma ya kwanza ndipo tuka mpeleka hospital akapatiwa matibabu akapona kabisa , lakini kidonda kipirudi tena situation mbili ambazo zilimpata
1, akiwa anacheza na wenzake , wakiwa wanachoma mifuko ya lambo alidondokewa na uji wa ile mifuko pale pale kilopokua kidonga , akauguza tena kikapona
2 , wakati mwingine tena akiwa anasaidia shughuri za ujenzi pale nyumban alidondokewa na kipande Cha tofali pale pale kidonda kikaanza tena ndio Hadi Sasa hivi kinamsumbua , NAOMBENI USHAURI JAMAN NIMSAIDIAJE HUYO KIJANA KWA SASA YUKO KIDATO CHA TATU
Sent using Jamii Forums mobile app