Alitop TV vs Boss TV; Kampuni gani unapendekeza ninunue?

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,049
4,904
Wakuu habarini?

Nataka ninunue flat TV kwa ajili ya matumizi ya office, nimepita huku na kule nikavutiwa na kampuni hizi mbili za TV, naomba ushauri wenu, Ni kampuni gani Ni Bora , ipi imara na inadumu?
1663668539512.jpg
1663668519436.jpg
 
Back
Top Bottom