clinton gidioni
Senior Member
- Oct 24, 2016
- 172
- 194
Huyu ni mwanamkw ambaye nilikuwa nae katika mahusiano alibahatika kuapata ujauzito wangu hata kama haukuwa wakwangu ila mnamo mwezi wa 9 nilibahatika kuona karatasi ya kipimo cha hospitali kikionyesha ni mjamzito na hata yeye aliniambia.
Dhahiri kuwa yaye ni mjazito nikaongeza huduma na mahitaji kwa mama mjamzito na baada ya siku kaadha akanimbai amejikuta akibleed damu nyingi sana.
akaniambia kuwa ilikuwa mimba inaonekana ila kwakuwa kizazi chake hakiko sawa ndio maana imetoka.
kwa ushadihidi juu ya hili la mimba hii ni hospitali ya kisasa naimani data huwa zinatunzwa sasa kama sheria inaweza kuchukuwa mkondo wake na kumbana kuwa mimba aliyo enda kupima mnamo mwezi wa 9 iko wapi na kama ilitoka ni daktali gani alithibitisha kuwa mimba imeharibika,?
je naweza kumshtaki juu ya hili wakuu,?
kwani sasa ndio naona dhahiri hakuwa mtu mzuri kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app