Alishindwaje hapa

INASHANGAZA sana! Katika hali
isiyokuwa ya kawaida mganga wa
kienyeji ‘sangoma’ mmoja aliyefahamika
kwa jina la Lambalamba amejikuta
akiingia kwenye hatua ya nusu kifo
kufuatia kupoteza fahamu baada ya
kuelemewa na majini aliyokuwa akiyatoa
shuleni.
 
Unaonekana unapenda thanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…