M matosoro Member Joined May 6, 2015 Posts 12 Reaction score 6 Jul 28, 2015 #41 Mkuu umesema form three alitolewa bikra na ticha, mlipo meet alikwambia anaboyfrnd askari mwenzie sasa unataka mini kingineeee......bwaga fastaaa
Mkuu umesema form three alitolewa bikra na ticha, mlipo meet alikwambia anaboyfrnd askari mwenzie sasa unataka mini kingineeee......bwaga fastaaa
papag Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 1,327 Reaction score 1,991 Jul 28, 2015 #42 zoba zoba zobaaaaaa.kula nduki wewe.au ndio una ndoto za abunuwasi?
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,100 Jul 28, 2015 #43 kuoa mwanajeshi, inatakiwa uwe na roho ngumu kuliko ya paka....!!
Steven Robert Masatu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2009 Posts 2,458 Reaction score 1,826 Jul 28, 2015 #44 Wanaume wa sasa naona hatuwezi kujisimamia kabisaaa. Mkuu kwani wewe umeamua nini kabla hujapata ushauri wa wadau? Zako zilikuwa tamu na kibuti juu, amekuweka exile still umekomaa tuu. Omwojo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Wanaume wa sasa naona hatuwezi kujisimamia kabisaaa. Mkuu kwani wewe umeamua nini kabla hujapata ushauri wa wadau? Zako zilikuwa tamu na kibuti juu, amekuweka exile still umekomaa tuu. Omwojo
O Omwojo Member Joined Mar 3, 2015 Posts 80 Reaction score 15 Jul 28, 2015 Thread starter #45 Asanten kwa ushauri nlishindwa kujib comment coz sikuwa hewan umeme huku nilipo ni tatizo jingine