Tatizo ni kwamba unampenda sana na huna sauti mbele yake na ameshalijua hilo ndo mana ana ku treat kama zoba, manake niwajuavyo wanaume wewe nakuona wa ajabu tena wa ajabu sana jamani duuuh, yani wenzio wameanza kukugegedea toka sekondari mpaka leo bado upo tu tena cha kusikitisha zaidi unaomba na ushauri, ina maana tukikwambia uendelee nae tena umuoe na wewe utaona ni sahihi kabisa? plz grow a pair na be a man. LEAVE HER, huyo dada si tu kwamba hakufai wewe ila hafai kuwa mke wa mwanaume yoyote aliekamili
Najiuliza kweli nastahili lawama hizi je, nifanye nini?
Tatizo ni kwamba unampenda sana na huna sauti mbele yake na ameshalijua hilo ndo mana ana ku treat kama zoba, manake niwajuavyo wanaume wewe nakuona wa ajabu tena wa ajabu sana jamani duuuh, yani wenzio wameanza kukugegedea toka sekondari mpaka leo bado upo tu tena cha kusikitisha zaidi unaomba na ushauri, ina maana tukikwambia uendelee nae tena umuoe na wewe utaona ni sahihi kabisa? plz grow a pair na be a man. LEAVE HER, huyo dada si tu kwamba hakufai wewe ila hafai kuwa mke wa mwanaume yoyote aliekamili
Jamani hili nalo la kujiuliza na kukusumbua kichwa kweli????
Ushauri mzuri, labda kama anatoa huduma ya Tigo pesa....kama siyo watamuunganishaKipindi unaendelea kuchukua maamuzi jihadhari na mwanajesh walienae