Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Nishamwambia sana tena sana anajirekebisha siku 2 ya 3 anaanza tenamueleze kwanza halafu ukiona habadiliki angalia namna
mwambie impact ya hii nitakuacha atapata akiliNishamwambia sana tena sana anajirekebisha siku 2 ya 3 anaanza tena
Brother hujashtuka tu? Hapo aliechukua nafasi yako ameshapatikana. Na yawezekana kakuzidi kipato.Nishamwambia sana tena sana anajirekebisha siku 2 ya 3 anaanza tena
JF kuna mambo, tatizo la weza kuwa wewe huelewi, kazi unayo long, kilichokufanya husioe nini?Nipo kwenye mahusiano na mwanamke ambae wakati nadate nae hakuwa na kazi na alikua na heshima sana, simu anapiga meseji anatuma na tuna mtoto mmoja lakini kapata kazi basi suala la kupiga simu kwangu ni gumu.
Mimi ndo nahangaika daily kumtafuta mbaya zaidi nikipiga simu kwa ndugu zake nisipoanza kuwasalimia wanamwambia dada yao na anakuja na maneno kibao ya kejeli, sasa bado sijafunga nae ndoa lakini keshaanza nongwa NIFANYAJE JAMANI?