JK yupo sahihi kabisa na katawala vizuriKiukweli jakayo kaendesha inchi vizuri kuliko raisi yyte inchi hii ila tu wakosoaji wapo kote dunia isipokuwa mbingun kunbuken no body is perfect except GOD
Kiukweli jakayo kaendesha inchi vizuri kuliko raisi yyte inchi hii ila tu wakosoaji wapo kote dunia isipokuwa mbingun kunbuken no body is perfect except GOD
mangikuleKha!! R U serious!! ?? We have the weakest president under the sun!! take my note!! Chemkapa alikuwa mkali lakini uchumi ulikuwa na alileta heshima ya wafanyakazi!! Mwinyi alikuwa mpole lakini alikuwa na washauri wazuri! LAKINI huyu ni kilaza halafu amezungukwa na washkaji kama wasaidizi!! Hakubali wala ushauri!! Umenfaham!??
Ni ujinga wa wetu ndiyo unatusumbua. Mwalimu alimkataa kuwa hafai ni mtoto, Jk akiwa na miaka 45, wakati Mwalimu alianza kutawala akiwa na miaka 38. Tungekuwa na akili nzuri Jk hakusitahi kupewa hiyo nafasi na juzi alitamka yeye mwenye kuwa na sauti nzuri, bahati uraisi ulimdondokea lasivyo angelikuwa bongo flava. Bado tunataka kufanya makosa mengine, sasa ni kushabikia mtu mwingine aliyekataliwa 1995, ambaye aliulizwa alikopata utajiri, hadi leo hajasema. watu wengi bado hawajui uhusiano wa watawala na raia wake katika kuleta maendeleo ya nchi. Ndiyo maana ukifika uchaguzi watu wanapewa kanga wanaona hiyo ndiyo mali, kumbe anauziwa mbuzi kwenye gunia. Shukrani kwa upinzani kutoa elimu ya uraia, kidogo watu wameanza kufunguka macho.Hana sifa hata moja ya uongozi, hakustahili kuwa Rais na yeye na kundi lake la mtandao walilijua hili ndio sababu wakatumia njia za panya kuingia madarakan.
ah hahaha hahaaaa hahahaha haaaa mkuu umeniacha hoi,mimi sijui chochote cha uongozi, ila msafara wake hasa anapoenda uwanja wa taifa ni mzuri,magari yanapendeza!
Kiukweli jakayo kaendesha inchi vizuri kuliko raisi yyte inchi hii ila tu wakosoaji wapo kote dunia isipokuwa mbingun kunbuken no body is perfect except GOD
Nabii hasifiwi nyumbani, nyie endeleeni, JK ni miongoni mwa watu maarufu duniani.
Rais ajaye ana wakati mgumu sana. Atakuwa hawezi kukopa sijui itakuwajeMdau kuna uwezekano rais ajaye akashindwa kufanya kufanya kama alivyofanya JK kwa sababu atakumbana na deni kubwa sana,trillion 30+ si pesa ya kitoto,sasa huyo atakayekuja atakua busy kulipa madeni badala ya kujikita kwenye maendeleo
Lakini kama watz huyu bwana ametugawa zaidi badala ya kuunganisha nchi,pia napata shida kama dhana ya utawala bora anaijua vizuri angalia mifano michache tu; ktk utawala wake wake mapolisi wanawapiga watu risasi na kuwaua,vyama vya upinzani haviruhusiwi kufanya shughili zake kwa uhuru,uwizi serikalini,mali asili yetu vinateketea,majadiliano na viongozi wenzako hazipi kipaumbele.
Nadhani hakutosha na najututia kumpigia kura rais kama huyu.
Wenyewe wanajipa no sweti kuna gesi,kuanza kuwaaminisha watanzania kuwa gesi itaitajirisha nchi ni kosa lingine hilo......Rais ajaye ana wakati mgumu sana. Atakuwa hawezi kukopa sijui itakuwaje
You are right,ikiwa tu mfumo wake ulikupa favor flani basi lazima awe boraKwangu mimi Jk ni Rais bora
Hatuwezi kupata mwingine, kwa sababu anayeondoka ni Kikwete na atakayekuja si Kikwete hata kama akiwa mwanaye ila hatakuwa Kikwete huyu.......sasa utapataje rais mwingine kama huyu........THINK BEYOND:typing:Kwa kweli Jakaya amekuwa rais bora kwangu na kama alivyosema ukwaju sijui kama tutapata rais mwingine kama huyu.