Aliondoka na kuniacha na mtoto wa miezi miwili

Mkuu mimi nilishawahi nyanganya mtoto na mama mpuuzi kama wakwako akawa amemfunya kua negotiating toal nikaona isiwe issue nakaingia mchakato wa kutafuta watoto wawiwi, nikapata watt wawili wazuri ngoma ikawa draw......hao viumbe hywawezi lazima amove on na plan b.

Pole sana duuh
 
Ana

Ananifatilia hatari aisee full kusumbua ndugu zangu mara alalamike sipigi simu hata kusalimia mtoto nachokifanya akipata mawasiliano yangu Tu nabadili namba ni msumbufu akipata namba yangu unakuta katuma SMS hata 20 za kejeri na matusi mi huwa sijibu kabisa yaani ananifatilia mpaka anajua jina la mke wangu, kiukweli namchukia Sana Sana maana alifikia hatua ya kutukana mpaka wazazi wangu
Inaonekana huyu binti alikutafuta wewe ndo maana anaku kontrol hadi sasa, mwanamke usimsusie mchane tu alieee akome!!
 
Back
Top Bottom