Aliondoka na kuniacha na mtoto wa miezi miwili

😂😂😂😂😂 ingekuwa rahisi hivyo mbona mapenzi yangekuwa hayafi. Baba mmoja mpole sana alipiga mkewe karibu ya kuua. Mdogo wake ambaye ni rafiki yangu kipenzi alinihadithia akasema nashukuru Mungu siku ile nilikuwa nyumbani kwa Kaka na kumzuia kwa kutumia ubavu wa hali ya juu. Kaka yangu alinihadithia rafiki yangu huyo tumekuwa pamoja na hatujapishana sana agewise sijawahi kumuona akikasirika kiasi kile. Kisa cha kukasirika ni umalaya wa mkewe na ulevi na huku wana watoto wadogo. Mimi pia nilikuwa namfahamu Kaka yake ni mtu poa sana halafu ni mpole.

Jini mtu huyo, kuweni makini sio Kila pahala mnaloweka tu
 
Ni zaIDI Ya jiNi Aisee Nakumbuka kUnA Siku tuLiZinguANa AkatOka NjE MtOtO Mchanga kabisa bado wakati huo mi nikajua labda kaenda kojoa nashangaa saa nzima sioni Mtu mtoto hapo alikuwa na mwezi tu sikumuona Yule mwanamke sijui alienda wapi mpka inafika kwenye saa 12 jioni nashangaa napigiwa Simu na Mtu aliyejitambulisha Kuwa ni Askari akanitaka nitii Sheria Kwani nahitajika kituo cha polisi nikamuulza kosa akasema eti kuna mdada kaja hapa kukushitaki akamtaja jina nikamwambia siwezi kuja afande Kwani hapa kaacha mtoto wa mwezi mmoja nipo nae sa natokaje nikamsikia you afande anamfokea kwanini kaacha kichanga mi nikakuta simu
 
😂😂😂😂😂 ingekuwa rahisi hivyo mbona mapenzi yangekuwa hayafi. Baba mmoja mpole sana alipiga mkewe karibu ya kuua. Mdogo wake ambaye ni rafiki yangu kipenzi alinihadithia akasema nashukuru Mungu siku ile nilikuwa nyumbani kwa Kaka na kumzuia kwa kutumia ubavu wa hali ya juu. Kaka yangu alinihadithia rafiki yangu huyo tumekuwa pamoja na hatujapishana sana agewise sijawahi kumuona akikasirika kiasi kile. Kisa cha kukasirika ni umalaya wa mkewe na ulevi na huku wana watoto wadogo. Mimi pia nilikuwa namfahamu Kaka yake ni mtu poa sana halafu ni mpole.
Wanawake watulivu wenye kuheshimu wanaume wapo wengi ila kuwapata yataka rehema ya Mungu, kuweni makini sana
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ni zaIDI Ya jiNi Aisee Nakumbuka kUnA Siku tuLiZinguANa AkatOka NjE MtOtO Mchanga kabisa bado wakati huo mi nikajua labda kaenda kojoa nashangaa saa nzima sioni Mtu mtoto hapo alikuwa na mwezi tu sikumuona Yule mwanamke sijui alienda wapi mpka inafika kwenye saa 12 jioni nashangaa napigiwa Simu na Mtu aliyejitambulisha Kuwa ni Askari akanitaka nitii Sheria Kwani nahitajika kituo cha polisi nikamuulza kosa akasema eti kuna mdada kaja hapa kukushitaki akamtaja jina nikamwambia siwezi kuja afande Kwani hapa kaacha mtoto wa mwezi mmoja nipo nae sa natokaje nikamsikia you afande anamfokea kwanini kaacha kichanga mi nikakuta simu
Kwa picha hili Basi Ulioa kichaa mkuu, hivyo kichaa kilipokuwa kikipanda ndo anafanya hivyo vituko
 
Umesema ukweli Wapo lakini ni bahati ya Mtende kuwapata. Wengi ni hao wa kuficha makucha yao kisha kuanza kuonyesha their true colours.

Wanawake watulivu wenye kuheshimu wanaume wapo wengi ila kuwapata yataka rehema ya Mungu, kuweni makini sana
 
Pole sana kuacha kichanga cha miezi miwili nyumban pekee daah hiyo roho ni ngumu na mbaya sana
 
Ana

Ananifatilia hatari aisee full kusumbua ndugu zangu mara alalamike sipigi simu hata kusalimia mtoto nachokifanya akipata mawasiliano yangu Tu nabadili namba ni msumbufu akipata namba yangu unakuta katuma SMS hata 20 za kejeri na matusi mi huwa sijibu kabisa yaani ananifatilia mpaka anajua jina la mke wangu, kiukweli namchukia Sana Sana maana alifikia hatua ya kutukana mpaka wazazi wangu

Huyo ni mwehu na kama ameolewa mumewake ana kazi kuishi na mtu anaemiliki cheti cha Milembee ni kazi
 
Mmmh uwenda kweli NI kichaa maana Kuna siku nilisafiri kama mwezi mmoja hivi nilirudi yeye akiwa yupo kazini kwake na nilirudi ye hajui Kuwa narudi siku hiyo aisee nilipoingia ndani nilikuta nyumba NI chafu mpaka aibu mama MTU mzma na Yuko na mtoto Yule Bibi yetu mdogo wake alikuwa ameshafariki. Nilikuta vyombo vichafu mpaka vimeweka funza, vimetapakaa kuanzia jikon huko hakupitiki NI vyombo Tu mpaka sebuleni harufu Kali sofa mpaka zina masizi Sjui alikuwa anapika kisha analia kwenye sufuria analiweka juu ya sofa. Nilipoingia chumban mamaaa nguo chafu zmechanganywa na Safi si zake si za mtoto wetu. Pedi zlizotumika zmetupwa uvunguni. Alikuwa ana tabia ya kutema Sana mate nikakuta kikombe tulichokuwa tunatumia kusevia maji na kupgia mswaki kimejaa mate yaani nilitamani nipge picha nimtumie mama yake. Haya ninayoyasema NI true story KBS si kwamba natunga NI true story mpk huwa nikikumbuka najiona Sjui nilikuwa shimoni sjielewi
 
Pole Sana huyo alikuwa hayupo sawa!
 
Ana

Ananifatilia hatari aisee full kusumbua ndugu zangu mara alalamike sipigi simu hata kusalimia mtoto nachokifanya akipata mawasiliano yangu Tu nabadili namba ni msumbufu akipata namba yangu unakuta katuma SMS hata 20 za kejeri na matusi mi huwa sijibu kabisa yaani ananifatilia mpaka anajua jina la mke wangu, kiukweli namchukia Sana Sana maana alifikia hatua ya kutukana mpaka wazazi wangu
Usimshau binti yako hicho ndo cha muhimu tafta namna ya kuhusika na mahitaji yake
 
Natamani Sana mkuu tena hata kumchukia sema hujajua na dili na mtu WA Aina gani alishaapa atanifunga Tu aliwahi kunilaza NDANI na kafungua kesi bahati nzuri wakati nahojiwa na mpelelezi maelezo yake akawa kaandika uwongo eti nmempiga mpk nikamchana mkononi wakati Hana jeraha na wala sikumpga kabisa maana nilikuwa naogopa kbs mtu mwenye Nia ya kukufunga ni wa kuogopa hata kumtukana hiyo ndo ilikuwa ponapona ya kwenda mahakamani maana aliifuta kesi alishauriwa baada ya kuona uwongo WA kuonekana kabisa kama ungekuwa kweli basi angenifunga kbs. Nikijidai kuanza namna ya kuhudumia mtoto maana yake lazmq niwe nawasiliana na mama yake SASA kitendo cha mama yake kuwa na mawasiliano yangu basi najitafutia mabalaa pia hata kuharibu ndoa yangu itanipa shida Sana nampenda sana mwanangu lakini tafanyaje SASA mkuu Yule mwanamke ni hatari Kwa maisha yangu na usalama wangu hapa hata hajui nipo wapi ndugu zangu wengi alio na mawasiliano nao nilifanya maamuzi ya wao kutokujua nipo wapi na nafanya kazi wapi namba zangu wanazo wachache Sana tena Kwa masharti makubwa sana aisee. Fikiria mkuu SASA mpk nafikia maamuzi haya mjue huyo mdada ni mtu WA Aina gani. Mwanangu tampata uzuri ni copyright kabisa na Mimi na Mzee wangu kwahiyo Hana pa kumpeleka atakuwa Tu ni swala la muda tu
 
Pole sana yaani kuna mtu unazaanaye mpaka unajiuliza ilikuwaje,
 
Ni zaIDI Ya jiNi Aisee Nakumbuka kUnA Siku tuLiZinguANa AkatOka NjE MtOtO Mchanga kabisa bado wakati huo mi nikajua labda kaenda kojoa nashangaa saa nzima sioni Mtu mtoto hapo alikuwa na mwezi tu sikumuona Yule mwanamke sijui alienda wapi mpka inafika kwenye saa 12 jioni nashangaa napigiwa Simu na Mtu aliyejitambulisha Kuwa ni Askari akanitaka nitii Sheria Kwani nahitajika kituo cha polisi nikamuulza kosa akasema eti kuna mdada kaja hapa kukushitaki akamtaja jina nikamwambia siwezi kuja afande Kwani hapa kaacha mtoto wa mwezi mmoja nipo nae sa natokaje nikamsikia you afande anamfokea kwanini kaacha kichanga mi nikakuta simu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mmmh uwenda kweli NI kichaa maana Kuna siku nilisafiri kama mwezi mmoja hivi nilirudi yeye akiwa yupo kazini kwake na nilirudi ye hajui Kuwa narudi siku hiyo aisee nilipoingia ndani nilikuta nyumba NI chafu mpaka aibu mama MTU mzma na Yuko na mtoto Yule Bibi yetu mdogo wake alikuwa ameshafariki. Nilikuta vyombo vichafu mpaka vimeweka funza, vimetapakaa kuanzia jikon huko hakupitiki NI vyombo Tu mpaka sebuleni harufu Kali sofa mpaka zina masizi Sjui alikuwa anapika kisha analia kwenye sufuria analiweka juu ya sofa. Nilipoingia chumban mamaaa nguo chafu zmechanganywa na Safi si zake si za mtoto wetu. Pedi zlizotumika zmetupwa uvunguni. Alikuwa ana tabia ya kutema Sana mate nikakuta kikombe tulichokuwa tunatumia kusevia maji na kupgia mswaki kimejaa mate yaani nilitamani nipge picha nimtumie mama yake. Haya ninayoyasema NI true story KBS si kwamba natunga NI true story mpk huwa nikikumbuka najiona Sjui nilikuwa shimoni sjielewi

Yan kama movie uliwezaje kuishi nae kwa kipind chote hicho,kutema mate kwenye kikombe too much aisee mbona hata chakula chake ni shugul kukila aisee pole sana una uvumilivu
 
Natamani Sana mkuu tena hata kumchukia sema hujajua na dili na mtu WA Aina gani alishaapa atanifunga Tu aliwahi kunilaza NDANI na kafungua kesi bahati nzuri wakati nahojiwa na mpelelezi maelezo yake akawa kaandika uwongo eti nmempiga mpk nikamchana mkononi wakati Hana jeraha na wala sikumpga kabisa maana nilikuwa naogopa kbs mtu mwenye Nia ya kukufunga ni wa kuogopa hata kumtukana hiyo ndo ilikuwa ponapona ya kwenda mahakamani maana aliifuta kesi alishauriwa baada ya kuona uwongo WA kuonekana kabisa kama ungekuwa kweli basi angenifunga kbs. Nikijidai kuanza namna ya kuhudumia mtoto maana yake lazmq niwe nawasiliana na mama yake SASA kitendo cha mama yake kuwa na mawasiliano yangu basi najitafutia mabalaa pia hata kuharibu ndoa yangu itanipa shida Sana nampenda sana mwanangu lakini tafanyaje SASA mkuu Yule mwanamke ni hatari Kwa maisha yangu na usalama wangu hapa hata hajui nipo wapi ndugu zangu wengi alio na mawasiliano nao nilifanya maamuzi ya wao kutokujua nipo wapi na nafanya kazi wapi namba zangu wanazo wachache Sana tena Kwa masharti makubwa sana aisee. Fikiria mkuu SASA mpk nafikia maamuzi haya mjue huyo mdada ni mtu WA Aina gani. Mwanangu tampata uzuri ni copyright kabisa na Mimi na Mzee wangu kwahiyo Hana pa kumpeleka atakuwa Tu ni swala la muda tu
Mkuu mimi nilisha wahi ku nyanganywa mtoto na mama mpuuzi kama wa kwako akawa amemfunya mtt wangu kua negotiating toal nikaona isiwe shida nikaingia kwenye mchakato wa kutafuta watoto wawili wapya, ni mesha pata watt wawili wazuri nawapenda sasa ngoma ikawa draw akimrudisha sawa isipo mrudisha yote maisha......hao viumbe huwawezi lazima u-move on na plan B.
 
Back
Top Bottom