Alinyanyaswa na sasa ndio analea mtoto wa mtesi wake

Yaani mapito yangu na yako yamefanana ila mimi hakuwa ma mdogo bali sheji yangu mke wa kakangu mzaliwa tumbo moja. Nilimheshimu sana kakangu kiasi nilimwita baba. Alikonitoa ni mbali mno kutoka kolomije ya kwetu na kunimwaga darisalama.
Akanitunza, akanipa kila kitu ka mdogo wake. Kisa kilianza aliposafiri kwa muda mrefu kaniachia mke japo hela ya chakula ni mkewe alikuwa nayo. Ndugu yangu, kuna kausemi kuwa; Mke si ugali tu bali ile shughuli ni muhimu umtimizie. Shem akani mind kinoma. Miye nikamkumbuka kaka nikagoma.
Hapo visa vikaanza. Aliporudi kaka ndo nikasingiziwa nilitaka kumbaka. Nakumbuka nilipigwa kipigo cha mbwa koko. Nikafukuzwa home, nikaishia kwa ba mdogo aliyekuwa hapo.
Nimemaliza skuli, nimepata kazi, kaka katumbuliwa. Miye ndo naishi matawi ya juu, yeye hana mbele wala nyumma.
Nilimsaidia pamoja na familia yake yote zaidi ya miaka 5. Hata alipopata kibarua hakuhama kutoka kwangu hadi mauti ilipomchukua. Sasa nimebakia na shem na familia yake na yangu.
 
2006_2008 form 6
Hii story ni nzur inafundisha Ila ni chai,kwa maelezo yako huyo binti ulikuwa unamsafisha anapojinyea wakat huo upo form 6,baada ya form 6 umesota kitaa mwaka umepata ajira kipindi Magu anaingia madarakan Leo hii unamsomesha secondary yule bint uliekuwa unamsafisha?!!.....

Sent using Jamii Forums mobile app
2011- alimaliza Chuo. 2013 kaanza kazi. Jitahidi ndugu yangu kufuatilia kwa umakini. Siyo kila kitu ni chai. Huu ni ukweli kabisa, hata Kama utachambua na kukuta makosa ya kimantiki kimlolongo it is a true story!

Mimi nilivyomwelewa mwaka 2006 wakati yeye akiingia kidato cha tano mtoto alikuwa na miaka mitatu na miezi sita. Ina maana kwa sasa mtoto huyo anatakiwa awe na miaka 17 na nusu au 18. Kwa comment yake nyingine msimuliaji ambaye pia usishangae ndiye anaeweza kuwa ndiye mhusika mkuu (kwa mtiririko wa stori ulivyo na majibu ya maswali, na pia kama ni tukio la kweli na siyo chai) mtoto ana miaka 18 na yupo kidato cha nne kitu ambacho kinaashiria kwamba mtoto alichelewa kuanza shule kwa kama mwaka mmoja maana wengi kwa sasa wanamaliza form 4 wakiwa na miaka 17 hivi.
 
Duuh pole Sana Kaka! Watu wanapitia maisha ya ajabu. Na mwanamke akikwambia kitu unakuta unachukulia ukweli 100% na kumkandamiza ndugu yako. Tuishi nao kwa akili jamn.

Nakupongeza Sana kwa kumuepuka shemeji. Mwenyezi Mungu akubariki Sana, na uendelee kuishinda tamaa
Yaani mapito yangu na yako yamefanana ila mimi hakuwa ma mdogo bali sheji yangu mke wa kakangu mzaliwa tumbo moja. Nilimheshimu sana kakangu kiasi nilimwita baba. Alikonitoa ni mbali mno kutoka kolomije ya kwetu na kunimwaga darisalama.
Akanitunza, akanipa kila kitu ka mdogo wake. Kisa kilianza aliposafiri kwa muda mrefu kaniachia mke japo hela ya chakula ni mkewe alikuwa nayo. Ndugu yangu, kuna kausemi kuwa; Mke si ugali tu bali ile shughuli ni muhimu umtimizie. Shem akani mind kinoma. Miye nikamkumbuka kaka nikagoma.
Hapo visa vikaanza. Aliporudi kaka ndo nikasingiziwa nilitaka kumbaka. Nakumbuka nilipigwa kipigo cha mbwa koko. Nikafukuzwa home, nikaishia kwa ba mdogo aliyekuwa hapo.
Nimemaliza skuli, nimepata kazi, kaka katumbuliwa. Miye ndo naishi matawi ya juu, yeye hana mbele wala nyumma.
Nilimsaidia pamoja na familia yake yote zaidi ya miaka 5. Hata alipopata kibarua hakuhama kutoka kwangu hadi mauti ilipomchukua. Sasa nimebakia na shem na familia yake na yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nilichojifunza mwanamke usimwache na mwanaume peke yake hata na baba yako mzazi,wao ndo chanzo na akili zao wanazijua wenyewe utakuja kuua ndugu bure kumbe mwanamke ndo kaanza.
 
Uko sahihi Kaka. Yeye analazimisha iwe chai, kutoka kwenye uhalisia. Anachopasa kujua ni kuwa maisha ya namna hii jamaa aliyapitia
Mimi nilivyomwelewa mwaka 2006 wakati yeye akiingia kidato cha tano mtoto alikuwa na miaka mitatu na miezi sita. Ina maana kwa sasa mtoto huyo anatakiwa awe na miaka 17 na nusu hadi 18. Kwa comment yake nyingine mtoto ana miaka 18 na yupo kidato cha nne kitu ambacho kinaashiria kwamba mtoto alichelewa kuanza shule kwa kama mwaka mmoja maana wengi kwa sasa wanamaliza form 4 wakiwa na miaka 17 hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kapitia mtihan mgumu hongera zake kwa kuushinda, mshikaj kwa sasa alishawahi kuwaeleza ukwel wazazi wake kwa kilichotokea? maana mwanzo baba ake hakumuelewa mpaka alivyosaidiwa kwa mwl mkuu kuongea na mzee
 
Mhusika hayupo humu Ila amenisimulia nikaona ni Bora kushare nanyi, maana Kuna Funzo. Katika Masimulizi haya najifanya kuwa yeye.

Mwaka 2005, nilichaguliwa kujiunga na Shule ya Secondary Mwenge, kidato Cha 5 na 6. Masomo yalikuwa ni mwaka 2006, bahati mbaya kulikuwa na shida ya walimu na ukweli mwenendo wa matokeo ya nyuma haukuwa mazuri katika shule hiyo.

Niliamua kumwambia Mzee wangu, akaamua kunihamishia shule ya private ambayo nilisoma day. Gharama ya boarding ilimshinda kulipa. Nikaombewa nafasi kwa ndugu yangu na kwenda kusomea hapo.

Nikiwa na miezi 4 tu baba Mdogo alipata Safari ya miezi 9 nje ya nchi. Nikabaki na mama Mdogo wangu. Maisha yakaendelea.

MATESO YANAANZA.

Baada ya wiki moja mama Mdogo akanifanya kuwa houseboy, siku za Jmosi na Jpili akawa ananiachia mtoto Mdogo wa kike miaka 3.6 . Akijisaidia nimsafishe, kufua hizo nguo, nk. Kibaya zaidi nikitoka shule naosha vyombo walivyotumia tangu chai. Tukimaliza usiku inabid nioshe kabisa ili kesho niamkie Shule! Kama nimechoka inabidi niamke Alfajiri Sana ili nioshe vyombo.

Niliendelea kufanya kazi hizo kwa ufanisi Mkubwa sana. Sikuonyesha dalili zozote za kusita, maana nilijua ninachokitafuta. Wenzangu wakipita wakakuta naosha vyombo, na videmu vya jirani vikioniona vinanicheka lkn sikujali. Focus ilikuwa katika kukamilisha shule yangu. Moyo ukinambia miaka miwili si mingi.

Tuliendelea kuishi hivo na maisha yakasonga. Kwa kuwa nilipokea hali ile hata shuleni sikuteteleka. Mambo yaliendelea kusimama katika nafasi yake. Walikuwa wasababtho Mimi nilisali Jumapili haya makanisa yetu pendwa ya machozi. Lakini nilizuiwa kufua Jmos na vyombo vya Kuanzia Ijumaa jioni ilibidi nivioshe Jumapili.

Nikaikumbuka Roma ya walatini Ola et labola, sala na Kazi. Napiga kazi naenda kwenye pambio, maisha yakaendelea.

Zikawa kazi zangu za kawaida, na mwili ukaanza kujengeka. Hali ya kijijini Nyangalagata ikaanza kupungua, sala na Kazi. Kazi na sala. Kazi na masomo ikawa Ibada. Kufua nguo za wadogo zangu, na kumsafisha mtoto wa kike ikawa kazi ya kawaida kwangu. Yeye hakunipa zake lkn nilikuwa nazinyoosha, Kuna siku alisahau akanilwekea na chupi yake, nilisikitika, ila sikuigusa.

MANYANYASO YA HATARI YANAANZA (Mwezi wa 6 tangu baba mdogo aondoke).

Mama Mdogo alianza kuingiwa na pepo la kihisia. Akaanza kunifanyia vituko, vituko ambavyo kwa kweli sikustahili kufanyiwa. Akitoka bafuni Kama niko sebuleni anakuja na khanga iliyoshika kwenye makalio balaa, yaani hadi mustari wa ikweta ulivyong'atwa na kinyeo unauona. Mara afungue khanga ajifunge vizuri mbele yangu, nilikuwa najitabasamisha tu lkn rohoni nasikitika. Aliendelea kufanya hivo lkn namshukuru roho wa bwn alishinda.

Siku mbaya kulikuwa na mvua, Mvua kubwa tu, Watoto walivyomaliza kula wakaenda kulala, tukabaki nae. Akanambia hii Mvua na radi hii, mbona hakutolalika. Nikajichekesha, nikamwambia pole ma Mdogo hadi umri huo unaogopa mvua wkat uko ndani!? Akasema wanawake uoga wetu hauna umri. Basi tukatabasamu pale tukatulia.

Baada Kama ya dk kadhaa akanambia huogi, nikamwambia nikitaka kulala, akanambia baba mdogo alisema kukiwa na miradi na mvua ni vyema kuwahi kulala. So kaoge. Nikasema sawa, nikaenda room nikachukua taulo nikazama bafuni. Natoka bafuni, lahaulaaaaaa. Nakuta net imeshachomekwa, amejifunika shuka langu, yuko chali, Maziwa yote nje. Nikashikwa na butwaa. Roho ikanambia rudi, nyingine ikanambia ingia. Ya kuingia ikashinda. Nilivoingia nikakaa kwenye kiti, akainuka kafunga mlango na ufunguo akanambia leo Mwanangu inabidi uniondolee upweke. Nikatafakari, akasema nitapiga kelele unanibaka Kama utanikatalia hili.

Nikamwambia mama, sawa mama. Sawa. Ila mama bila Kinga siwezi kufanya hivo, naomba unisaidie Mia tano nifate Kinga dukani. Akakubali akainukakwenda room kwake na kuniletea 1000, akanambia chukua 2,nikafungua, nikachukua Mwamvuli nikaenda dukani.

Nilitembea kwa mguu km 7 kwenda kwa Mwanafunzi mwenzangu ambae alikuwa anaishi Getho na kumsimulia akakubali kunihifadhi. Sikuwa na simu kipindi hicho.

Nikaamua kukaa na mshikaji, nikawa navaa nguo zake za Shule, yeye alikuwa mrefu kunizidi mm. Nguo zikawa kauka nikubebee. Sikutaka kuwaambia nyumbani. Siku moja, nikaambiwa Mzee wa yule mama amekuja pale nyumbani, nikaamua kutoroka shule nikamuwahi. Nilivofika, nikaingia ndani nikamsalimia ma Mdogo, akanisalimia huku kachukia. Nikaingia room nikachukua nguo zangu zote na kuondoka.

Baada ya siku kwenda nikaenda kumsaka ma mdogo, nikazungumza nae akanambia nisimwambie mtu yeyote na yeye anaona kulikuwa na kosa. So nirudi nyumbani tuishi, maana ba Mdogo akihisi dosari anaweza kuniua na yeye Yuko tayari kunisingizia ili aokoe ndoa yake. Ukweli niligoma kurudi, ba Mdogo alivorudi mama Mdogo akamwambia nilitaka kumbaka.

Ba Mdogo akaja shule kunisaka, akamsimulia kila kitu Mkuu wa shule. Mkuu wa shule alisikitika Sana. Alinifahamu nilivokuwa mustaarabu na nilivokuw vizuri kiasi kwa upande wa taaluma. Niliitwa, nikaomba niongee na baba Mdogo pembeni, lkn alikataa. Nilimsilimulia kila kitu, lkn alinyanyuka akanipiga bonge la Kofi, mpka nikadondoka. Nikapoteza fahamu nikakimbizwa hospital. Ilikuw saa 4 Asubuhi, nilikuja kuzinduka jioni.

Asubuhi ya kesho yake nikaruhusiwa kutoka, lkn na ba Mdogo hakuja hata kuniona, ndugu yangu akawa Mwanafunzi aliyenipokea Getho kwake. Nikaamua kwenda kumwambia Mkuu wa shule ukweli ulivyokuwa. Akanambia tulipanga tukufukuze, lkn Kama ni hivo, wee Soma. Tena Soma kwa bidii.

Ba Mdogo hakunitafuta Tena, akapiga simu nyumbani, Mzee alikuwa mkoloni Sana, nilipomtafuta kupitia simu ya jirani wa Mwanafunzi mwenzangu na kujitambulisha, akasema ada ujitafutie. Kama umekuwa na uwezo wa kubaka mke wa baba yako, maana yake una uwezo wa kujisimamia. Nilivoenda shule kesho yake, ikabid nimpe Headmaster namba ya Mzee akaongea nae kwa uchungu Sana.

Baada ya mazungumzo yao, nikasikia Mkuu wa shule anataja namba ya akaunti ya shule ili Mzee alipe ada. Alilipa, na akamtumia elfu 50 kwa ajili ya matumizi yangu.

Ba Mdogo hakutaka kuniona Tena. Siku moja nilionana nae bahati mbaya, akapaki baiskeli akaja kunipiga, sema mbio ziliniokoa. Angeita mwizi nafikiri ningekuwa marehemu leo.

Mungu saidia, nikamaliza kidato Cha 6 na kuchaguliwa Chuo pendwa nchini. Baada ya kumaliza nikasota mwaka mmoja kitaa, then nikapata kazi.

Mzee Magufuli alipoingia madarakani ba Mdogo katumbuliwa vyeti feki. Baada ya miezi kadhaa tu hali ikawa tete, akashindwa kulipa ada za Watoto wake.

Mwaka 2017,nikapokea simu ngeni, kumbe ba Mdogo akaongea kilugha kuniomba msaada, kuhusu mwanae kuachishwa shule, amekosa ada. Nilikubali kumsaidia mtoto mmoja, yule niliyekuwa namsafisha kinyesi. Naishi nae kwa amani, namlipia kila kitu. Juzi mama yake kaja kutusalimia, kakuta mtoto kapendeza sana. Anasoma day, anaenda na gari na kurudi. Mama Mdogo yupo katulia. Hata wife sijawahi kumwambia. Amani imetawala, japo anajishtukiashutikia lkn Sina shida nae. Nilimsamehe tangu nilipofanikiwa kukamilisha masomo yangu ya kidato Cha 6.

Kwa kuwa kesho ya mtu haijulikani, tafadhali tuheshimu utu wa watu.

Lugumya
Msimuliaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa kula kimasihara watakulalamikia kimoyomoyo, nakupongeza kwa ujasiri na uvumilivu uliokuwa nao, wanawake waliowengi wanaroho mbaya dhidi ya ndugu wa upande wa waume zao. Hongera kwa kukubali kumsomesha huyo mtoto sasa yeye ndo anaumia roho na kukuta, ila ulitakiwa umueleze baba yako mdogo kipindi alipotaka umpe msaada, ungempa stori nzima na kumkumbusha namna alivyokupiga Kofi bila ya kukusikiliza
 
Duuh pole Sana Kaka! Watu wanapitia maisha ya ajabu. Na mwanamke akikwambia kitu unakuta unachukulia ukweli 100% na kumkandamiza ndugu yako. Tuishi nao kwa akili jamn.

Nakupongeza Sana kwa kumuepuka shemeji. Mwenyezi Mungu akubariki Sana, na uendelee kuishinda tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali la kizushi tu kwako; Umeoa? Kama umeoa, hakikisha kuwa unamwamini mkeo 100% Kumbuka huyu ndiye usalama wako woote. Akiitaka roho yako aweza kuitwaa saa yeyote.
Muombe Mungu akupe mke ambaye atakupenda na atawapenda ndugu zako pia. Muombe Mungu akupe mke mtulivu tu. Mke sio Kumlisha tu ugali bali umtimizie pia mengineyo. Ukiona humtimizii, akikuletea habari ya mwanamume yeyote anayemtaka kimapenzi, puuzia
 
Wazazi wake wanajua kisa chote kwa ufasaha. Anasema headmaster ni Kama alimsaidia kuweka Jambo hilo vizuri kwa Mzee. Maana alivimaliza six kurudi home, alimwambia mzee, Mzee wake akampa pole Sana. Kilichompa moyo pia, Mzee aliendelea kumhudumia vizuri tu mpka kufikia kukamilisha masomo yake.
Jamaa kapitia mtihan mgumu hongera zake kwa kuushinda, mshikaj kwa sasa alishawahi kuwaeleza ukwel wazazi wake kwa kilichotokea? maana mwanzo baba ake hakumuelewa mpaka alivyosaidiwa kwa mwl mkuu kuongea na mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante, nitamfikishia ujumbe wako. Hata mm nimepokea ushauri wako. Barikiwa
Swali la kizushi tu kwako; Umeoa? Kama umeoa, hakikisha kuwa unamwamini mkeo 100% Kumbuka huyu ndiye usalama wako woote. Akiitaka roho yako aweza kuitwaa saa yeyote.
Muombe Mungu akupe mke ambaye atakupenda na atawapenda ndugu zako pia. Muombe Mungu akupe mke mtulivu tu. Mke sio Kumlisha tu ugali bali umtimizie pia mengineyo. Ukiona humtimizii, akikuletea habari ya mwanamume yeyote anayemtaka kimapenzi, puuzia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhusika hayupo humu Ila amenisimulia nikaona ni Bora kushare nanyi, maana Kuna Funzo. Katika Masimulizi haya najifanya kuwa yeye.

Mwaka 2005, nilichaguliwa kujiunga na Shule ya Secondary Mwenge, kidato Cha 5 na 6. Masomo yalikuwa ni mwaka 2006, bahati mbaya kulikuwa na shida ya walimu na ukweli mwenendo wa matokeo ya nyuma haukuwa mazuri katika shule hiyo.

Niliamua kumwambia Mzee wangu, akaamua kunihamishia shule ya private ambayo nilisoma day. Gharama ya boarding ilimshinda kulipa. Nikaombewa nafasi kwa ndugu yangu na kwenda kusomea hapo.

Nikiwa na miezi 4 tu baba Mdogo alipata Safari ya miezi 9 nje ya nchi. Nikabaki na mama Mdogo wangu. Maisha yakaendelea.

MATESO YANAANZA.

Baada ya wiki moja mama Mdogo akanifanya kuwa houseboy, siku za Jmosi na Jpili akawa ananiachia mtoto Mdogo wa kike miaka 3.6 . Akijisaidia nimsafishe, kufua hizo nguo, nk. Kibaya zaidi nikitoka shule naosha vyombo walivyotumia tangu chai. Tukimaliza usiku inabid nioshe kabisa ili kesho niamkie Shule! Kama nimechoka inabidi niamke Alfajiri Sana ili nioshe vyombo.

Niliendelea kufanya kazi hizo kwa ufanisi Mkubwa sana. Sikuonyesha dalili zozote za kusita, maana nilijua ninachokitafuta. Wenzangu wakipita wakakuta naosha vyombo, na videmu vya jirani vikioniona vinanicheka lkn sikujali. Focus ilikuwa katika kukamilisha shule yangu. Moyo ukinambia miaka miwili si mingi.

Tuliendelea kuishi hivo na maisha yakasonga. Kwa kuwa nilipokea hali ile hata shuleni sikuteteleka. Mambo yaliendelea kusimama katika nafasi yake. Walikuwa wasababtho Mimi nilisali Jumapili haya makanisa yetu pendwa ya machozi. Lakini nilizuiwa kufua Jmos na vyombo vya Kuanzia Ijumaa jioni ilibidi nivioshe Jumapili.

Nikaikumbuka Roma ya walatini Ola et labola, sala na Kazi. Napiga kazi naenda kwenye pambio, maisha yakaendelea.

Zikawa kazi zangu za kawaida, na mwili ukaanza kujengeka. Hali ya kijijini Nyangalagata ikaanza kupungua, sala na Kazi. Kazi na sala. Kazi na masomo ikawa Ibada. Kufua nguo za wadogo zangu, na kumsafisha mtoto wa kike ikawa kazi ya kawaida kwangu. Yeye hakunipa zake lkn nilikuwa nazinyoosha, Kuna siku alisahau akanilwekea na chupi yake, nilisikitika, ila sikuigusa.

MANYANYASO YA HATARI YANAANZA (Mwezi wa 6 tangu baba mdogo aondoke).

Mama Mdogo alianza kuingiwa na pepo la kihisia. Akaanza kunifanyia vituko, vituko ambavyo kwa kweli sikustahili kufanyiwa. Akitoka bafuni Kama niko sebuleni anakuja na khanga iliyoshika kwenye makalio balaa, yaani hadi mustari wa ikweta ulivyong'atwa na kinyeo unauona. Mara afungue khanga ajifunge vizuri mbele yangu, nilikuwa najitabasamisha tu lkn rohoni nasikitika. Aliendelea kufanya hivo lkn namshukuru roho wa bwn alishinda.

Siku mbaya kulikuwa na mvua, Mvua kubwa tu, Watoto walivyomaliza kula wakaenda kulala, tukabaki nae. Akanambia hii Mvua na radi hii, mbona hakutolalika. Nikajichekesha, nikamwambia pole ma Mdogo hadi umri huo unaogopa mvua wkat uko ndani!? Akasema wanawake uoga wetu hauna umri. Basi tukatabasamu pale tukatulia.

Baada Kama ya dk kadhaa akanambia huogi, nikamwambia nikitaka kulala, akanambia baba mdogo alisema kukiwa na miradi na mvua ni vyema kuwahi kulala. So kaoge. Nikasema sawa, nikaenda room nikachukua taulo nikazama bafuni. Natoka bafuni, lahaulaaaaaa. Nakuta net imeshachomekwa, amejifunika shuka langu, yuko chali, Maziwa yote nje. Nikashikwa na butwaa. Roho ikanambia rudi, nyingine ikanambia ingia. Ya kuingia ikashinda. Nilivoingia nikakaa kwenye kiti, akainuka kafunga mlango na ufunguo akanambia leo Mwanangu inabidi uniondolee upweke. Nikatafakari, akasema nitapiga kelele unanibaka Kama utanikatalia hili.

Nikamwambia mama, sawa mama. Sawa. Ila mama bila Kinga siwezi kufanya hivo, naomba unisaidie Mia tano nifate Kinga dukani. Akakubali akainukakwenda room kwake na kuniletea 1000, akanambia chukua 2,nikafungua, nikachukua Mwamvuli nikaenda dukani.

Nilitembea kwa mguu km 7 kwenda kwa Mwanafunzi mwenzangu ambae alikuwa anaishi Getho na kumsimulia akakubali kunihifadhi. Sikuwa na simu kipindi hicho.

Nikaamua kukaa na mshikaji, nikawa navaa nguo zake za Shule, yeye alikuwa mrefu kunizidi mm. Nguo zikawa kauka nikubebee. Sikutaka kuwaambia nyumbani. Siku moja, nikaambiwa Mzee wa yule mama amekuja pale nyumbani, nikaamua kutoroka shule nikamuwahi. Nilivofika, nikaingia ndani nikamsalimia ma Mdogo, akanisalimia huku kachukia. Nikaingia room nikachukua nguo zangu zote na kuondoka.

Baada ya siku kwenda nikaenda kumsaka ma mdogo, nikazungumza nae akanambia nisimwambie mtu yeyote na yeye anaona kulikuwa na kosa. So nirudi nyumbani tuishi, maana ba Mdogo akihisi dosari anaweza kuniua na yeye Yuko tayari kunisingizia ili aokoe ndoa yake. Ukweli niligoma kurudi, ba Mdogo alivorudi mama Mdogo akamwambia nilitaka kumbaka.

Ba Mdogo akaja shule kunisaka, akamsimulia kila kitu Mkuu wa shule. Mkuu wa shule alisikitika Sana. Alinifahamu nilivokuwa mustaarabu na nilivokuw vizuri kiasi kwa upande wa taaluma. Niliitwa, nikaomba niongee na baba Mdogo pembeni, lkn alikataa. Nilimsilimulia kila kitu, lkn alinyanyuka akanipiga bonge la Kofi, mpka nikadondoka. Nikapoteza fahamu nikakimbizwa hospital. Ilikuw saa 4 Asubuhi, nilikuja kuzinduka jioni.

Asubuhi ya kesho yake nikaruhusiwa kutoka, lkn na ba Mdogo hakuja hata kuniona, ndugu yangu akawa Mwanafunzi aliyenipokea Getho kwake. Nikaamua kwenda kumwambia Mkuu wa shule ukweli ulivyokuwa. Akanambia tulipanga tukufukuze, lkn Kama ni hivo, wee Soma. Tena Soma kwa bidii.

Ba Mdogo hakunitafuta Tena, akapiga simu nyumbani, Mzee alikuwa mkoloni Sana, nilipomtafuta kupitia simu ya jirani wa Mwanafunzi mwenzangu na kujitambulisha, akasema ada ujitafutie. Kama umekuwa na uwezo wa kubaka mke wa baba yako, maana yake una uwezo wa kujisimamia. Nilivoenda shule kesho yake, ikabid nimpe Headmaster namba ya Mzee akaongea nae kwa uchungu Sana.

Baada ya mazungumzo yao, nikasikia Mkuu wa shule anataja namba ya akaunti ya shule ili Mzee alipe ada. Alilipa, na akamtumia elfu 50 kwa ajili ya matumizi yangu.

Ba Mdogo hakutaka kuniona Tena. Siku moja nilionana nae bahati mbaya, akapaki baiskeli akaja kunipiga, sema mbio ziliniokoa. Angeita mwizi nafikiri ningekuwa marehemu leo.

Mungu saidia, nikamaliza kidato Cha 6 na kuchaguliwa Chuo pendwa nchini. Baada ya kumaliza nikasota mwaka mmoja kitaa, then nikapata kazi.

Mzee Magufuli alipoingia madarakani ba Mdogo katumbuliwa vyeti feki. Baada ya miezi kadhaa tu hali ikawa tete, akashindwa kulipa ada za Watoto wake.

Mwaka 2017,nikapokea simu ngeni, kumbe ba Mdogo akaongea kilugha kuniomba msaada, kuhusu mwanae kuachishwa shule, amekosa ada. Nilikubali kumsaidia mtoto mmoja, yule niliyekuwa namsafisha kinyesi. Naishi nae kwa amani, namlipia kila kitu. Juzi mama yake kaja kutusalimia, kakuta mtoto kapendeza sana. Anasoma day, anaenda na gari na kurudi. Mama Mdogo yupo katulia. Hata wife sijawahi kumwambia. Amani imetawala, japo anajishtukiashutikia lkn Sina shida nae. Nilimsamehe tangu nilipofanikiwa kukamilisha masomo yangu ya kidato Cha 6.

Kwa kuwa kesho ya mtu haijulikani, tafadhali tuheshimu utu wa watu.

Lugumya
Msimuliaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaona ulipoteswa.
 
Dunia hii,Mimi pia kuna kitu kimoja ngoja niwaambie kwa kifupi,mwaka2011 kuna mshkaji nilimuita toka kijijini,nikawa naishi nae,ila baadae jamaa akabadirika kinoma na wakati alikuwa anaishi kwangu anarudi kalewa ,hafanyi usafi,inabidi nifanye mwenyewe nikitoka job tena ananipisha kabisa nafanya usafi kisha anarudi ndani,kwa kweli nilimchoka na kutaka kumfuza nyumbani,lakini nilivumilia,mungu saidia akaja kupata kazi akahama,alinishukuru sana kwa mda nilioishi nae,sasa ona hii, mvua hii ya juzi iliyonyesha iliniharibia kila kitu nimerudi home mafuriko yaliingii,sikupanga bondeni Ila kumbe kwa juu kuna ukuta ulijenga ukawa unabadirisha direction ya maji,sasa ule ukutwa ulivunjwa,nimerudi yaani nyumba hakuna ,watu wameiba kila kitu,sasa hivi Niko kwenye geto LA yule mshikaji wangu nakaa kwake,pombe kaacha na havuti sigara,yeye ndo ananishauri Mimi sasa kuwa niache sigara na pombe,ingawa Mimi sikuwa mlevi wa hovyo kama yeye, NGOJA NIKWAMBIE KITU ,MAISHA HAYA WE YAONE HIVYOHIVYO,LIFE IT'S A MIRROW Of CONFUSION, LIFE IS A BOX OF PANORAMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh Mkuu. Uvumilivu umelipa. Hongera sana

Back
Top Bottom