Alinyanyaswa na sasa ndio analea mtoto wa mtesi wake

Kweli kabisa,kwa hali ya sasa ndugu asaidiwe akiwa mbali,kumleta karibu ni kujisababishia matatizo yanayoepukika
Kama wa kike amrushe kwao huduma zote atoe akiwa kwao hilo lipo kabisa maana anaweza kuwa na tabia ya mama yake, umewaza mbali mkuu, hata mama anaweza kumfundisha asema hivyo m baya m baya tu hata utende wema vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom