Alinyanyaswa na sasa ndio analea mtoto wa mtesi wake

Naweza kuamini story yako kwa 100% sababu namimi nimeishi kwa ndugu, nimepitia changamoto nyingi sana lakn nawaheshimu sana tu bado, cha msingi walinipa nafasi ya kwenda shule basi haikunusumbua maana mimi shida yangu ilikua elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah huyu jamaa ningekuwa ndio mimi siku ile mvua iliponyesha ningeshindwa kuvumilia ningekula tunda . Kwani shilingi ngapi bana. Halafu ingekuwa home full mapochopocho ningegeuka father house mpk father house mwenyewe angasahaulika. Yaani ningekuwa nanyumbulika nyumbulika kwenye tendo mpk ningekuwa nalishwa nafuliwa na kuogeshwa shughuli ambazo nilikuwa nazifanya angezifanya huyo mama mdogo tena huku anachekelea rohoni

NIKO NA UBAYAAA NIKO NA UBAYAAA BWANA NIBADILISHEEEEE
 
Ocran watu wanasema ni chai, lkn watu wana Siri na hiki kisa kitaonekana Cha kawaida sana
Naweza kuamini story yako kwa 100% sababu namimi nimeishi kwa ndugu, nimepitia changamoto nyingi sana lakn nawaheshimu sana tu bado, cha msingi walinipa nafasi ya kwenda shule basi haikunusumbua maana mimi shida yangu ilikua elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
funzadume nimecheka Sana! Daah, aisee! Japo umeandika ujinga lkn kula
Dah huyu jamaa ningekuwa ndio mimi siku ile mvua iliponyesha ningeshindwa kuvumilia ningekula tunda . Kwani shilingi ngapi bana. Halafu ingekuwa home full mapochopocho ningegeuka father house mpk father house mwenyewe angasahaulika. Yaani ningekuwa nanyumbulika nyumbulika kwenye tendo mpk ningekuwa nalishwa nafuliwa na kuogeshwa shughuli ambazo nilikuwa nazifanya angezifanya huyo mama mdogo tena huku anachekelea rohoni

NIKO NA UBAYAAA NIKO NA UBAYAAA BWANA NIBADILISHEEEEE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhusika hayupo humu Ila amenisimulia nikaona ni Bora kushare nanyi, maana Kuna Funzo. Katika Masimulizi haya najifanya kuwa yeye.

Mwaka 2005, nilichaguliwa kujiunga na Shule ya Secondary Mwenge, kidato Cha 5 na 6. Masomo yalikuwa ni mwaka 2006, bahati mbaya kulikuwa na shida ya walimu na ukweli mwenendo wa matokeo ya nyuma haukuwa mazuri katika shule hiyo.

Niliamua kumwambia Mzee wangu, akaamua kunihamishia shule ya private ambayo nilisoma day. Gharama ya boarding ilimshinda kulipa. Nikaombewa nafasi kwa ndugu yangu na kwenda kusomea hapo.

Nikiwa na miezi 4 tu baba Mdogo alipata Safari ya miezi 9 nje ya nchi. Nikabaki na mama Mdogo wangu. Maisha yakaendelea.

MATESO YANAANZA.

Baada ya wiki moja mama Mdogo akanifanya kuwa houseboy, siku za Jmosi na Jpili akawa ananiachia mtoto Mdogo wa kike miaka 3.6 . Akijisaidia nimsafishe, kufua hizo nguo, nk. Kibaya zaidi nikitoka shule naosha vyombo walivyotumia tangu chai. Tukimaliza usiku inabid nioshe kabisa ili kesho niamkie Shule! Kama nimechoka inabidi niamke Alfajiri Sana ili nioshe vyombo.

Niliendelea kufanya kazi hizo kwa ufanisi Mkubwa sana. Sikuonyesha dalili zozote za kusita, maana nilijua ninachokitafuta. Wenzangu wakipita wakakuta naosha vyombo, na videmu vya jirani vikioniona vinanicheka lkn sikujali. Focus ilikuwa katika kukamilisha shule yangu. Moyo ukinambia miaka miwili si mingi.

Tuliendelea kuishi hivo na maisha yakasonga. Kwa kuwa nilipokea hali ile hata shuleni sikuteteleka. Mambo yaliendelea kusimama katika nafasi yake. Walikuwa wasababtho Mimi nilisali Jumapili haya makanisa yetu pendwa ya machozi. Lakini nilizuiwa kufua Jmos na vyombo vya Kuanzia Ijumaa jioni ilibidi nivioshe Jumapili.

Nikaikumbuka Roma ya walatini Ola et labola, sala na Kazi. Napiga kazi naenda kwenye pambio, maisha yakaendelea.

Zikawa kazi zangu za kawaida, na mwili ukaanza kujengeka. Hali ya kijijini Nyangalagata ikaanza kupungua, sala na Kazi. Kazi na sala. Kazi na masomo ikawa Ibada. Kufua nguo za wadogo zangu, na kumsafisha mtoto wa kike ikawa kazi ya kawaida kwangu. Yeye hakunipa zake lkn nilikuwa nazinyoosha, Kuna siku alisahau akanilwekea na chupi yake, nilisikitika, ila sikuigusa.

MANYANYASO YA HATARI YANAANZA (Mwezi wa 6 tangu baba mdogo aondoke).

Mama Mdogo alianza kuingiwa na pepo la kihisia. Akaanza kunifanyia vituko, vituko ambavyo kwa kweli sikustahili kufanyiwa. Akitoka bafuni Kama niko sebuleni anakuja na khanga iliyoshika kwenye makalio balaa, yaani hadi mustari wa ikweta ulivyong'atwa na kinyeo unauona. Mara afungue khanga ajifunge vizuri mbele yangu, nilikuwa najitabasamisha tu lkn rohoni nasikitika. Aliendelea kufanya hivo lkn namshukuru roho wa bwn alishinda.

Siku mbaya kulikuwa na mvua, Mvua kubwa tu, Watoto walivyomaliza kula wakaenda kulala, tukabaki nae. Akanambia hii Mvua na radi hii, mbona hakutolalika. Nikajichekesha, nikamwambia pole ma Mdogo hadi umri huo unaogopa mvua wkat uko ndani!? Akasema wanawake uoga wetu hauna umri. Basi tukatabasamu pale tukatulia.

Baada Kama ya dk kadhaa akanambia huogi, nikamwambia nikitaka kulala, akanambia baba mdogo alisema kukiwa na miradi na mvua ni vyema kuwahi kulala. So kaoge. Nikasema sawa, nikaenda room nikachukua taulo nikazama bafuni. Natoka bafuni, lahaulaaaaaa. Nakuta net imeshachomekwa, amejifunika shuka langu, yuko chali, Maziwa yote nje. Nikashikwa na butwaa. Roho ikanambia rudi, nyingine ikanambia ingia. Ya kuingia ikashinda. Nilivoingia nikakaa kwenye kiti, akainuka kafunga mlango na ufunguo akanambia leo Mwanangu inabidi uniondolee upweke. Nikatafakari, akasema nitapiga kelele unanibaka Kama utanikatalia hili.

Nikamwambia mama, sawa mama. Sawa. Ila mama bila Kinga siwezi kufanya hivo, naomba unisaidie Mia tano nifate Kinga dukani. Akakubali akainukakwenda room kwake na kuniletea 1000, akanambia chukua 2,nikafungua, nikachukua Mwamvuli nikaenda dukani.

Nilitembea kwa mguu km 7 kwenda kwa Mwanafunzi mwenzangu ambae alikuwa anaishi Getho na kumsimulia akakubali kunihifadhi. Sikuwa na simu kipindi hicho.

Nikaamua kukaa na mshikaji, nikawa navaa nguo zake za Shule, yeye alikuwa mrefu kunizidi mm. Nguo zikawa kauka nikubebee. Sikutaka kuwaambia nyumbani. Siku moja, nikaambiwa Mzee wa yule mama amekuja pale nyumbani, nikaamua kutoroka shule nikamuwahi. Nilivofika, nikaingia ndani nikamsalimia ma Mdogo, akanisalimia huku kachukia. Nikaingia room nikachukua nguo zangu zote na kuondoka.

Baada ya siku kwenda nikaenda kumsaka ma mdogo, nikazungumza nae akanambia nisimwambie mtu yeyote na yeye anaona kulikuwa na kosa. So nirudi nyumbani tuishi, maana ba Mdogo akihisi dosari anaweza kuniua na yeye Yuko tayari kunisingizia ili aokoe ndoa yake. Ukweli niligoma kurudi, ba Mdogo alivorudi mama Mdogo akamwambia nilitaka kumbaka.

Ba Mdogo akaja shule kunisaka, akamsimulia kila kitu Mkuu wa shule. Mkuu wa shule alisikitika Sana. Alinifahamu nilivokuwa mustaarabu na nilivokuw vizuri kiasi kwa upande wa taaluma. Niliitwa, nikaomba niongee na baba Mdogo pembeni, lkn alikataa. Nilimsilimulia kila kitu, lkn alinyanyuka akanipiga bonge la Kofi, mpka nikadondoka. Nikapoteza fahamu nikakimbizwa hospital. Ilikuw saa 4 Asubuhi, nilikuja kuzinduka jioni.

Asubuhi ya kesho yake nikaruhusiwa kutoka, lkn na ba Mdogo hakuja hata kuniona, ndugu yangu akawa Mwanafunzi aliyenipokea Getho kwake. Nikaamua kwenda kumwambia Mkuu wa shule ukweli ulivyokuwa. Akanambia tulipanga tukufukuze, lkn Kama ni hivo, wee Soma. Tena Soma kwa bidii.

Ba Mdogo hakunitafuta Tena, akapiga simu nyumbani, Mzee alikuwa mkoloni Sana, nilipomtafuta kupitia simu ya jirani wa Mwanafunzi mwenzangu na kujitambulisha, akasema ada ujitafutie. Kama umekuwa na uwezo wa kubaka mke wa baba yako, maana yake una uwezo wa kujisimamia. Nilivoenda shule kesho yake, ikabid nimpe Headmaster namba ya Mzee akaongea nae kwa uchungu Sana.

Baada ya mazungumzo yao, nikasikia Mkuu wa shule anataja namba ya akaunti ya shule ili Mzee alipe ada. Alilipa, na akamtumia elfu 50 kwa ajili ya matumizi yangu.

Ba Mdogo hakutaka kuniona Tena. Siku moja nilionana nae bahati mbaya, akapaki baiskeli akaja kunipiga, sema mbio ziliniokoa. Angeita mwizi nafikiri ningekuwa marehemu leo.

Mungu saidia, nikamaliza kidato Cha 6 na kuchaguliwa Chuo pendwa nchini. Baada ya kumaliza nikasota mwaka mmoja kitaa, then nikapata kazi.

Mzee Magufuli alipoingia madarakani ba Mdogo katumbuliwa vyeti feki. Baada ya miezi kadhaa tu hali ikawa tete, akashindwa kulipa ada za Watoto wake.

Mwaka 2017,nikapokea simu ngeni, kumbe ba Mdogo akaongea kilugha kuniomba msaada, kuhusu mwanae kuachishwa shule, amekosa ada. Nilikubali kumsaidia mtoto mmoja, yule niliyekuwa namsafisha kinyesi. Naishi nae kwa amani, namlipia kila kitu. Juzi mama yake kaja kutusalimia, kakuta mtoto kapendeza sana. Anasoma day, anaenda na gari na kurudi. Mama Mdogo yupo katulia. Hata wife sijawahi kumwambia. Amani imetawala, japo anajishtukiashutikia lkn Sina shida nae. Nilimsamehe tangu nilipofanikiwa kukamilisha masomo yangu ya kidato Cha 6.

Kwa kuwa kesho ya mtu haijulikani, tafadhali tuheshimu utu wa watu.

Lugumya
Msimuliaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejifunza jambo kubwa sana Hapa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo binti akimaliza arudishwe kwao kanaweza kuwa na tabia za mama yake ,kwanza kutakuwa kanamuonea wivu wifi yake, angesaidia huko huko kwao, na hata huyo Baba yake mdogo sio kama karidhia bali shida ndiyo imemleta asingekuwa na shida wala asingemtafuta huenda bado analo moyoni wala asijiachie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu anadai kufanya hivo ni dhambi. Na Imani yake inamsihi kuishinda zinaa. Lkn kwa Mila zao kumla mke wa baba yake Mdogo wake ni kujitafutia laana.
Kama ishu ni UKIMWI, si angeenda kuchukua kondom akarudi kula nyama, halafu siku zingine anamkazia kwanza wakapime afya, ndio mambo mengine yanaendelea.

Mkuu, jambo la msingi hapo ni kucheza na alama za nyakati tu! To take risk is one thing, but to know necessary from unnecessary risk ni jambo jingine. Mtu anayeendekeza sana dini kuna wakati anakuwaga kama mjinga fulani hivi [am sorry for this choice my of words], hebu jaribu kumuuliza kwanini alitokomea moja kwa moja aliendea kondom, halafu angalia jibu lake, kisha urudi kwangu tena nikwambie kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa mha wewe
Mhusika hayupo humu Ila amenisimulia nikaona ni Bora kushare nanyi, maana Kuna Funzo. Katika Masimulizi haya najifanya kuwa yeye.

Mwaka 2005, nilichaguliwa kujiunga na Shule ya Secondary Mwenge, kidato Cha 5 na 6. Masomo yalikuwa ni mwaka 2006, bahati mbaya kulikuwa na shida ya walimu na ukweli mwenendo wa matokeo ya nyuma haukuwa mazuri katika shule hiyo.

Niliamua kumwambia Mzee wangu, akaamua kunihamishia shule ya private ambayo nilisoma day. Gharama ya boarding ilimshinda kulipa. Nikaombewa nafasi kwa ndugu yangu na kwenda kusomea hapo.

Nikiwa na miezi 4 tu baba Mdogo alipata Safari ya miezi 9 nje ya nchi. Nikabaki na mama Mdogo wangu. Maisha yakaendelea.

MATESO YANAANZA.

Baada ya wiki moja mama Mdogo akanifanya kuwa houseboy, siku za Jmosi na Jpili akawa ananiachia mtoto Mdogo wa kike miaka 3.6 . Akijisaidia nimsafishe, kufua hizo nguo, nk. Kibaya zaidi nikitoka shule naosha vyombo walivyotumia tangu chai. Tukimaliza usiku inabid nioshe kabisa ili kesho niamkie Shule! Kama nimechoka inabidi niamke Alfajiri Sana ili nioshe vyombo.

Niliendelea kufanya kazi hizo kwa ufanisi Mkubwa sana. Sikuonyesha dalili zozote za kusita, maana nilijua ninachokitafuta. Wenzangu wakipita wakakuta naosha vyombo, na videmu vya jirani vikioniona vinanicheka lkn sikujali. Focus ilikuwa katika kukamilisha shule yangu. Moyo ukinambia miaka miwili si mingi.

Tuliendelea kuishi hivo na maisha yakasonga. Kwa kuwa nilipokea hali ile hata shuleni sikuteteleka. Mambo yaliendelea kusimama katika nafasi yake. Walikuwa wasababtho Mimi nilisali Jumapili haya makanisa yetu pendwa ya machozi. Lakini nilizuiwa kufua Jmos na vyombo vya Kuanzia Ijumaa jioni ilibidi nivioshe Jumapili.

Nikaikumbuka Roma ya walatini Ola et labola, sala na Kazi. Napiga kazi naenda kwenye pambio, maisha yakaendelea.

Zikawa kazi zangu za kawaida, na mwili ukaanza kujengeka. Hali ya kijijini Nyangalagata ikaanza kupungua, sala na Kazi. Kazi na sala. Kazi na masomo ikawa Ibada. Kufua nguo za wadogo zangu, na kumsafisha mtoto wa kike ikawa kazi ya kawaida kwangu. Yeye hakunipa zake lkn nilikuwa nazinyoosha, Kuna siku alisahau akanilwekea na chupi yake, nilisikitika, ila sikuigusa.

MANYANYASO YA HATARI YANAANZA (Mwezi wa 6 tangu baba mdogo aondoke).

Mama Mdogo alianza kuingiwa na pepo la kihisia. Akaanza kunifanyia vituko, vituko ambavyo kwa kweli sikustahili kufanyiwa. Akitoka bafuni Kama niko sebuleni anakuja na khanga iliyoshika kwenye makalio balaa, yaani hadi mustari wa ikweta ulivyong'atwa na kinyeo unauona. Mara afungue khanga ajifunge vizuri mbele yangu, nilikuwa najitabasamisha tu lkn rohoni nasikitika. Aliendelea kufanya hivo lkn namshukuru roho wa bwn alishinda.

Siku mbaya kulikuwa na mvua, Mvua kubwa tu, Watoto walivyomaliza kula wakaenda kulala, tukabaki nae. Akanambia hii Mvua na radi hii, mbona hakutolalika. Nikajichekesha, nikamwambia pole ma Mdogo hadi umri huo unaogopa mvua wkat uko ndani!? Akasema wanawake uoga wetu hauna umri. Basi tukatabasamu pale tukatulia.

Baada Kama ya dk kadhaa akanambia huogi, nikamwambia nikitaka kulala, akanambia baba mdogo alisema kukiwa na miradi na mvua ni vyema kuwahi kulala. So kaoge. Nikasema sawa, nikaenda room nikachukua taulo nikazama bafuni. Natoka bafuni, lahaulaaaaaa. Nakuta net imeshachomekwa, amejifunika shuka langu, yuko chali, Maziwa yote nje. Nikashikwa na butwaa. Roho ikanambia rudi, nyingine ikanambia ingia. Ya kuingia ikashinda. Nilivoingia nikakaa kwenye kiti, akainuka kafunga mlango na ufunguo akanambia leo Mwanangu inabidi uniondolee upweke. Nikatafakari, akasema nitapiga kelele unanibaka Kama utanikatalia hili.

Nikamwambia mama, sawa mama. Sawa. Ila mama bila Kinga siwezi kufanya hivo, naomba unisaidie Mia tano nifate Kinga dukani. Akakubali akainukakwenda room kwake na kuniletea 1000, akanambia chukua 2,nikafungua, nikachukua Mwamvuli nikaenda dukani.

Nilitembea kwa mguu km 7 kwenda kwa Mwanafunzi mwenzangu ambae alikuwa anaishi Getho na kumsimulia akakubali kunihifadhi. Sikuwa na simu kipindi hicho.

Nikaamua kukaa na mshikaji, nikawa navaa nguo zake za Shule, yeye alikuwa mrefu kunizidi mm. Nguo zikawa kauka nikubebee. Sikutaka kuwaambia nyumbani. Siku moja, nikaambiwa Mzee wa yule mama amekuja pale nyumbani, nikaamua kutoroka shule nikamuwahi. Nilivofika, nikaingia ndani nikamsalimia ma Mdogo, akanisalimia huku kachukia. Nikaingia room nikachukua nguo zangu zote na kuondoka.

Baada ya siku kwenda nikaenda kumsaka ma mdogo, nikazungumza nae akanambia nisimwambie mtu yeyote na yeye anaona kulikuwa na kosa. So nirudi nyumbani tuishi, maana ba Mdogo akihisi dosari anaweza kuniua na yeye Yuko tayari kunisingizia ili aokoe ndoa yake. Ukweli niligoma kurudi, ba Mdogo alivorudi mama Mdogo akamwambia nilitaka kumbaka.

Ba Mdogo akaja shule kunisaka, akamsimulia kila kitu Mkuu wa shule. Mkuu wa shule alisikitika Sana. Alinifahamu nilivokuwa mustaarabu na nilivokuw vizuri kiasi kwa upande wa taaluma. Niliitwa, nikaomba niongee na baba Mdogo pembeni, lkn alikataa. Nilimsilimulia kila kitu, lkn alinyanyuka akanipiga bonge la Kofi, mpka nikadondoka. Nikapoteza fahamu nikakimbizwa hospital. Ilikuw saa 4 Asubuhi, nilikuja kuzinduka jioni.

Asubuhi ya kesho yake nikaruhusiwa kutoka, lkn na ba Mdogo hakuja hata kuniona, ndugu yangu akawa Mwanafunzi aliyenipokea Getho kwake. Nikaamua kwenda kumwambia Mkuu wa shule ukweli ulivyokuwa. Akanambia tulipanga tukufukuze, lkn Kama ni hivo, wee Soma. Tena Soma kwa bidii.

Ba Mdogo hakunitafuta Tena, akapiga simu nyumbani, Mzee alikuwa mkoloni Sana, nilipomtafuta kupitia simu ya jirani wa Mwanafunzi mwenzangu na kujitambulisha, akasema ada ujitafutie. Kama umekuwa na uwezo wa kubaka mke wa baba yako, maana yake una uwezo wa kujisimamia. Nilivoenda shule kesho yake, ikabid nimpe Headmaster namba ya Mzee akaongea nae kwa uchungu Sana.

Baada ya mazungumzo yao, nikasikia Mkuu wa shule anataja namba ya akaunti ya shule ili Mzee alipe ada. Alilipa, na akamtumia elfu 50 kwa ajili ya matumizi yangu.

Ba Mdogo hakutaka kuniona Tena. Siku moja nilionana nae bahati mbaya, akapaki baiskeli akaja kunipiga, sema mbio ziliniokoa. Angeita mwizi nafikiri ningekuwa marehemu leo.

Mungu saidia, nikamaliza kidato Cha 6 na kuchaguliwa Chuo pendwa nchini. Baada ya kumaliza nikasota mwaka mmoja kitaa, then nikapata kazi.

Mzee Magufuli alipoingia madarakani ba Mdogo katumbuliwa vyeti feki. Baada ya miezi kadhaa tu hali ikawa tete, akashindwa kulipa ada za Watoto wake.

Mwaka 2017,nikapokea simu ngeni, kumbe ba Mdogo akaongea kilugha kuniomba msaada, kuhusu mwanae kuachishwa shule, amekosa ada. Nilikubali kumsaidia mtoto mmoja, yule niliyekuwa namsafisha kinyesi. Naishi nae kwa amani, namlipia kila kitu. Juzi mama yake kaja kutusalimia, kakuta mtoto kapendeza sana. Anasoma day, anaenda na gari na kurudi. Mama Mdogo yupo katulia. Hata wife sijawahi kumwambia. Amani imetawala, japo anajishtukiashutikia lkn Sina shida nae. Nilimsamehe tangu nilipofanikiwa kukamilisha masomo yangu ya kidato Cha 6.

Kwa kuwa kesho ya mtu haijulikani, tafadhali tuheshimu utu wa watu.

Lugumya
Msimuliaji.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa anadai binti atakapomaliza, itabidi awakutanishe wazazi wake (wazazi wa Mwenye stori) na wazazi wa huyu binti ili aweke ukweli kwenye kadamnasi. Ila anadai hatomwambia binti kamwe kwa sababu haoni Kama Jambo hilo linamhusu.
Huyo binti akimaliza arudishwe kwao kanaweza kuwa na tabia za mama yake ,kwanza kutakuwa kanamuonea wivu wifi yake, angesaidia huko huko kwao, na hata huyo Baba yake mdogo sio kama karidhia bali shida ndiyo imemleta asingekuwa na shida wala asingemtafuta huenda bado analo moyoni wala asijiachie

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazuri yapo mengi, Kama kula na kulala. Hiyo ni heshima nafikiri ambayo imefanya hasemehe yote Mkuu. Maana angekataliwa yawezekana hata hatua aliyofikia, asingeifikia. Ana-admit mchango wao hadi leo Pamoja na changamoto hizo.
weka na mazuri waliyokufanyia sio mabaya tu. tatizo lako unasahau kuwa pale hapakuwa kwenu so usitaka kumpa bamdogo mzigo usio na maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii story ni nzur inafundisha Ila ni chai,kwa maelezo yako huyo binti ulikuwa unamsafisha anapojinyea wakat huo upo form 6,baada ya form 6 umeenda chuo let's say 3 years baada ya hapo umesota kitaa mwaka umepata ajira kipindi Magu anaingia madarakan Leo hii unamsomesha secondary yule bint uliekuwa unamsafisha?!!.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom