Alinizungusha miaka mitatu nikajifanya nimepata ajali mbaya sana alipokuja kuniona tu nikamla

Hahaha! umenikumbusha mbali mkuu, kuna manzi nimefatilia mwezi mzima anachomoa.

One day natoka job nikakutana nae njiani anaenda hospital anaumwa.
Nikamwambia nisubiri hapa naenda geto kuchukua mkwanja nikusindikize

Nikampaki kwenye kiduka cha mangi then nikapiga kama hatua tano hivi halafu nikarudi
Nikamwambia twende wote tu geto utanisubiri nje halafu tutapita njia ile nyingine kule.

Tulivyofika nje ya geto nikamgusa halafu nikajifanya nimestuka nikamwambia
Kumbe una homa kali hivi!! hebu tuingie ndani kwanza unywe panadol upoze homa kidogo upate na nguvu za kutembea

Alivyoingia ndani nikampa panado then nikazuga kidogo kama nampima homa kucheki kama imeshuka
Kilichofata mbususu ilipigwa mpaka homa ikaisha na hospital hatukuenda tena
 
Kuna mrembo alinizungusha miaka mitatu.

Sms anajibu, story kwenye simu poa, kukutana maeneo tunakutana ila home hataki kuja.

Gheto langu ningeliita tu kwa Mkapa maana ukiingia hutoki. Kuna basi la xxxxx liliwahi kupinduka na kuua watu kibao na majeruhi pia, nikamfata mshkaji wangu anafanya kituo cha afya cha kata ninayoishi akanifunga POP mkononi na plasta kichwani nikapiga picha nikaambatansha na picha za mtandaoni za lile basi baada ya kupata ajali nikamtumia mrembo.

Mchaga wa watu masikini akanipigia simu nikamwambia nimeruhusiwa niko home. Akasema nielekeze nakuja
Dakika chache mtu huyu hapa na fuko la matunda nikamwambia kama sio Mungu ningekufa huku naugulia maumivu fake, nikamkumbuka marehemu bibi yangu nikajikamua machozi haya hapa.

Akajichanganya tu akanisogelea...nilimvuta nikambusu nikampa show moja ya kibabe akabaki kujiuliza huyu ni majeruhi wa aina gani. Nilipeleka moto sijawahi tangu nizaliwe.

Kuanzia siku hiyo akawa mpenzi wangu ma hiyo siri hakuwahi kujua labda aisome humu.
,Hii nchi ina vijana wa hovyo sana.Nadhani Uhuru umepitiliza.
 
Hahahahaaa...... Kuna wakati Wanawake ni wakatili sana na ni wenye huruma pia.
 
Back
Top Bottom