Alinitukana matusi makali akaniacha ,Jana ananitafuta ananiambia habari za kuhitaji mtoto

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Salama wana MMU Kuna mabinti wengine ni wajinga sana nilikua nadate na binti flani wa miaka 20 hivi,nlimpenda huyu binti kutokana na mambo matamu aliyokua ananipa
Lakini kutokana na rika lake ikawa ni mahusiano ya migogoro ,mara aniache tena kwa matusi mwisho wa siku anarudi tena kwangu.

Mimi niliendelea kuwa nae kutokana na utoaji wake wa 0714 so mwisho wa siku nikamwona kama chombo cha starehe tu mapenzi kwake yakaisha sasa kuna wakati aliomba hela kwa mzazi wake akamdanganya anaenda kulipa ada chuo na akaniomba nikipigiwa simu na dingi ake nikubali hizo pesa nimepewa Mimi kama mkuu wa chuo
Ile pesa kainunulia simu,babake akaanza kunisumbua kutaka risiti mi nikambadilikia sijapokea hela yoyote toka kwa binti yake amuulize vizuri.

Baada ya siku kadhaa binti kaanza kunitukana na kuniambia niachane nae ,mi nikampotezea nikaendelea na mishe zangu ,yapata miezi minne Jana ananitafuta ananiambia nimsamehe manake amezunguka kwa wanaume mbalimbali hajaona mkweli na mwenye mapenzi ya kweli kama mimi ingawa sikuwa nampa hela nyingi akaendelea anataka nimzalishe tu awe na mtoto na ameamua kuacha tabia yake ya kuliwa ndogo ,anataka kuwa mama bora na amebadilika kitabia.

Nimeshindwa kumwelewa nini kimemkuta hadi aamue kunifuata tena demu ni nzuri ila kutokana na mienendo yake naogopa hata kuwa nae tena karibu ,ana miaka 20 sasa ila anajifanya mtoto wa mjini sana ,sasa sijui ni nn hasa anachokitafuta kwangu ingawa mi nlimshamtoa moyoni na hata mawasiliano yake nlifuataga nimfanyaje huyu aache kunizoea tena.??
 
Anataka alipize huyo why ulisema hujapokea hela..
Kidem kinatoa jicho hahaha wallah ukikubali anaKudedisha na wana jF tutaona live kupitia TBC one
Kila la kher kwenye kuandamwa na israel
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom