Alinitukana matusi makali akaniacha ,Jana ananitafuta ananiambia habari za kuhitaji mtoto

Halafu wanaona kutoa hiyo ndiyo kupendwa kumbe ni kinyume chake.
Imefika hatua nawaza na ninaumia sana juu ya jambo hili pamoja na mapenzi ya Jinsia moja, sijui watoto wetu na vizazi vyao itakuwaje.
Mungu tunusuru.
Ni kumuomba mungu tu maana tunakoenda hapaeleweki kabisa kuna Uzi uliletwa mwanamke anamuona mwanaume mshamba kwakuwa amekataa kula jicho.
 
Kwa akili yangu timamu sitafanya huo ushetani lbd tu itokee kunyweshwa madawa ya usingizi au kubakwa na nilishanuwia atakaenifanyia ivo yeye na uzao wake utakufa umesimama wima km mti
Kapeace usiseme hivyo inaweza kutokea halafu waliokutenda ukabaki unawaona wanadunda. Kuna MZEE mmoja hivi aliwaona wenzao wanaopigiwa mimba watoto zao ni watu wasio na amri nyumbani na akaweka nadhiri zingine nzito tu sana ila ikatokea watoto wake wote wa kile walipigwa mimba na jamaa hakufanya chochote. Sema waloipiga mimba walibanwa na wazazi wao wakawachukua hao mabinti kama wake zao. Yule MZEE mpaka Leo husema usiseme jambo ambalo halijakukuta
 
Ataolewaa ilaa ndoa yakee haiwezi kua na amani..!! Maana atachepukaa akaliwee tigo
Lakini si huwa wanasema ukipata ushauri MTU unawez kuacha. Lakini haka katabia sio kazuri hivi unaachaje maku na utamu wake wote ule unakimbilia 0713 ama kweli huu ni ufirauni uliopitiliza kabisa
 
Aisee kuna baadhi ya wanaume ni wapumbavu sana sasa wewe unafunguka kabisa ujinga wako kwamba ulikuwa unamsodoma mwenzako halafu unatangaza, ndo nyie mnalalamika hali ya uchumi mbaya, sasa unategemea M/Mungu akupe rizki kwa matendo yako hayo, tubadilike bwana
 
Hapo hamna demu komaa mkapime kwanza si unajua asilimia 80 ya wa umri huo ndio wameungua!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom