Alinitukana matusi makali akaniacha ,Jana ananitafuta ananiambia habari za kuhitaji mtoto

Wahenga wananena "Jini likujualo halikuli likakumaliza" umefanya makaosa makubwa sana ule usemi what goes around comes around ni wakweli mkuu, mi nakushauri umwite mkae na myamalize umeshamuharibu na usimkimbie tafadhali, kaa nae muulize anataka nini, miaka 20 kwa mwanamke sio kidogo wanawake wengine wanapata ukubwa wakiwa na miaka 9 tu kutegemea na maumbile. Sasa mkazo uwe ni maendeleo zaidi kuliko ngono. Usijaribu kutafuta mwengine, huyo unamjua vizuri na unajua mapungufu yake hivo ni rahisi kumrekebisha, anzia hapo. Ni ushauri tu lakini
 
Wanaona ndiyo ukisasa kumbe hawajui wanajiharibu, wanakwenda kinyume na Mungu na wanamkosea.
Yaani hata sijui niwaelezeeje wanawake wanaokubali kuliwa ndo go, yaani mwanaume anakuwa amekudharau mpaka basi unakuwa ni fuska alieshindikana huyo aolewe nae awe mama wanae atawaleaje???
 
yaani unajitangaza kabisa eti alikua anakupa 0713 huu ni upu**vu wa vijana wa siku hizi
Hili ni tangazo sio yaliyo mkuta mwambie alipe tangazo lake
japo sio vizuri kumhukumu mwenzio
ila mamtu kama ww yanaitaji kuchomwa moto hadharani yaani unamuharibu binti wa watu afu unakuja kujisifu humu .
so sad!!!!!!
na nyie mabinti jieleweni basi hata kwa jero tu.
 
Mungu akutunze, hiyo kitu sasa hv ndiyo starehe ya taifa, tunakutana na changamoto kubwa, wadada wameamua kutuzawadia hiyo kitu mchana kweupe kabisa.
Kwa akili yangu timamu sitafanya huo ushetani lbd tu itokee kunyweshwa madawa ya usingizi au kubakwa na nilishanuwia atakaenifanyia ivo yeye na uzao wake utakufa umesimama wima km mti
 
Kwa akili yangu timamu sitafanya huo ushetani lbd tu itokee kunyweshwa madawa ya usingizi au kubakwa na nilishanuwia atakaenifanyia ivo yeye na uzao wake utakufa umesimama wima km mti
Maamuzi mazuri, tuombe tamanio la nafsi yako litimie.
 
Yaani hata sijui niwaelezeeje wanawake wanaokubali kuliwa ndo go, yaani mwanaume anakuwa amekudharau mpaka basi unakuwa ni fuska alieshindikana huyo aolewe nae awe mama wanae atawaleaje???
Halafu wanaona kutoa hiyo ndiyo kupendwa kumbe ni kinyume chake.
Imefika hatua nawaza na ninaumia sana juu ya jambo hili pamoja na mapenzi ya Jinsia moja, sijui watoto wetu na vizazi vyao itakuwaje.
Mungu tunusuru.
 
Hii story yako imenisikitisha sana,hivi unawezaje kushiriki kumuharibu unayempenda? Hebu tubadilike jamani tuwalinde tunaowapenda na kuwarekebisha, wewe ulitakiwa uwe wa kwanza kupinga vitendo viovu vya huyo binti badala ya kushiriki tena mpaka kumuibia baba mkwe hilo si balaa
 
Kwa akili yangu timamu sitafanya huo ushetani lbd tu itokee kunyweshwa madawa ya usingizi au kubakwa na nilishanuwia atakaenifanyia ivo yeye na uzao wake utakufa umesimama wima km mti
nimecheka Aisee
 
Mungu akutunze, hiyo kitu sasa hv ndiyo starehe ya taifa, tunakutana na changamoto kubwa, wadada wameamua kutuzawadia hiyo kitu mchana kweupe kabisa.
Hata mkizawadiwa mkatae muwaache na laana zao, nimesikia uchungu na huruma.

Wazazi tujitahidi sana kulea watoto wetu kwenye misingi ya kumjua Mungu na kuwa na hofu ya Mungu.
 
siwez kukushaur mtu mchafu mpaka unajianika hapa mungu ametuumbia tunda tamu (papuch ) katuwekea na chumvi ukinyonya ni taaamu, ila we unatomba mav una akil wewe kweli?? sina cha kukushauli na uchafu wako
 
mnasujudia sana pesa mlio wengi kwenye mahusiano,ukishatanguliza maslahi kwenye mapenzi ,hayo mdio madhara yake,0712 utatoa tuu
Wanaona ndiyo ukisasa kumbe hawajui wanajiharibu, wanakwenda kinyume na Mungu na wanamkosea.
 
Hawa wanaume wa kusema mambo ya faragha hawa, kuna mmoja at work alikuwa anatuambia jinsi asivyompenda girlfriend wake anamla tigo.

Imetikea Demi amenasa ameamua kumuoa, sasa wanaomkumbusha habari ya tigo anataka kupigana nao eti yule wife bwana sasa tungejuaje unayofanya na wife kama si mdomo wako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom