Alinitukana baada ya kuhisi nimemdharau

Alinitukana baada ya kuhisi nimemdharau

HAKUNA MWANAUME RIJALI WA KWELI ANAEWEZA KUKATAA SHOW YA BURE HASA KUTOKA KWA DEMU MKALI KAMA ULIVYOHADITHIA.

SISI HUWA TUNAPENDA NA KICHWA CHA CHINI HATA KAMA KICHWA CHA JUU KINACHUKIA.

HAPA KUNA MAWILI, AIDHA WEWE NI GASHO HIVYO KUHALALISHA KUMITHILISHWA KINYWA CHAKO NA UCHI KIPARA AMA HII STORY NI YA KUSADIKIKA.
Tatizo unadhania kwamba kila mtu yupo kama wewe ulivo Mzee,,,,,mimi siyo dunga dunga lakini pia Shoga mwenyewe
 
Yani mtu anaongelea msimamo wake Ila anakuja mtu anasema CHAI..!!Yani unavojiona wewe malaya huachi demu basi Unataka kila mtu awe ivo..!!Mimi kama sijakupenda hata Ikar uchi naondoka.
 
HAKUNA MWANAUME RIJALI WA KWELI ANAEWEZA KUKATAA SHOW YA BURE HASA KUTOKA KWA DEMU MKALI KAMA ULIVYOHADITHIA.

SISI HUWA TUNAPENDA NA KICHWA CHA CHINI HATA KAMA KICHWA CHA JUU KINACHUKIA.

HAPA KUNA MAWILI, AIDHA WEWE NI GASHO HIVYO KUHALALISHA KUMITHILISHWA KINYWA CHAKO NA UCHI KIPARA AMA HII STORY NI YA KUSADIKIKA.
Usiseme Hakuna mwanaume wa ivo but sema wewe huwezi broo..!!Usiweke wengi hii dunia ni pana sana..!!nina mwanangu Nimecheza nae tangu utotoni na now tunafanya kazi sehemu moja,Kaoa mke ila ndoa yake ina miaka 7 MPK sasa na hajawahi kucheat Yani mimi nikitongoza Adeli au nikiwa na demu jamaa anakasirika na kuniweka chini na kunisema MPK namkwepa,Anakataa pisi ambazo mimi ndio ndoto yangu..!!Kuna watu sio dhaifu kwa wanawake broo Wana focus na familia zao..
 
Yani mtu anaongelea msimamo wake Ila anakuja mtu anasema CHAI..!!Yani unavojiona wewe malaya huachi demu basi Unataka kila mtu awe ivo..!!Mimi kama sijakupenda hata Ikar uchi naondoka.
Hataki kuamini kwamba sio kila mwanaume ni zipu mbovu
 
Usiseme Hakuna mwanaume wa ivo but sema wewe huwezi broo..!!Usiweke wengi hii dunia ni pana sana..!!nina mwanangu Nimecheza nae tangu utotoni na now tunafanya kazi sehemu moja,Kaoa mke ila ndoa yake ina miaka 7 MPK sasa na hajawahi kucheat Yani mimi nikitongoza Adeli au nikiwa na demu jamaa anakasirika na kuniweka chini na kunisema MPK namkwepa,Anakataa pisi ambazo mimi ndio ndoto yangu..!!Kuna watu sio dhaifu kwa wanawake broo Wana focus na familia zao..
Exactly mwambie
 
Back
Top Bottom