MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,727
- 37,031
utter nonsense
Nimependa ulipoanza Ni yule aliyekuwa zezeta wa MercyNi yule aliyekuwa zezeta wa Mercy once again.
Ilikuwa mwaka 2016 kuna dem flan wa kitusi walikuwa wamehamia kijijini kwetu wakitokea huko walikotoka.
Sasa bahna huyo Binti ni mrefu mwembamba mweusi. Nilimuapproach akajaa lakini ni kama vile sikumpenda kisawasawa ni mihemko tu ndo ilinituma kumtomgoza.
Yule Binti kumbe yeye alikuwa ananielewa kwahyo kumuapproach kwangu kulimfurahisha sana na jambo alilipokea kwa bashasha sana.
Ujue kweli huwez pretend kumpenda mtu na wakati haumpendi. Honestly yule binti sikuwa nimempenda ila yeye kadri siku zilivokuwa zinasonga alikuwa ananielewa zaidi na zaidi.
Asilimia zaidi ya 75 ya pisi mashemej na mawifi zenu walikuwa wananizid umri na mpka mchumba wangu niliye naye now ananizid umri kama 2 years hivi.
Hii hali ya kutokumpenda aliinotice lakin akawa anafanya kila njia ili mambo yawe poa.
Nilikuwa simuombi show, alivoona simuombi show akaamua aanzishe mwenyew application, siku hiyo nilikubali lakini kwa shingo upande sana.
Siku hiyo ilikuwa jmoc nakumbuka mpka leo.
Binti aliiratibu show nzima (mahali pa kukutana)
Tulikubaliana mida ya saa kumi jioni tukakiamshe.
Ikafika saa kumi jioni jamaa zangu wakanipifia tukachek game uwanjani. Nikaona ujinga kwenda kuonana na dem ambaye sikuwa nampenda nikaenda kuchek game 😃😃.
Dem Wacha aanze kupiga cm sipokei anapiga sipokei.
Mwishoni nikamwambia nimeahirisha tutakutana siku nyingine.
Duu dem alikasirika sana akakata simu, sijakaa vizuri ilianguka bonge moja la mesej ndefu kinoma hafu mwishoni ikamaliziwa na bonge moja la tusi (mdomo kama kinena kilichotoka kunyolewa).
Wazee nilipotoka pale nilienda kujiangalia kwenye kioo labda nina domo kubwa nikakuta ni la kawaida tu nikabaki nawaza kweli huyu Binti amenitusi hivi?
Mimi sikumtukana nilimwambia tu "nashukuru lakini kwanzia saii tuachane".
Niliamini yule dem kweli alikuwa ananipenda maana akirud kwa kas ya 7G kuomba msamaha na kutaka turudiane.
Alimshirikisja mpka mazaa wake akanipigia tukaongea akasema tuyamalize na mwanaye tuendeleee lakini mimi niliona lile tusi ni sababu tosha ya kusalia na msimamo wangu.
Walikuja kuhama kijijini kwetu lakini akaendelea kunitafuta mwisho wa siku aliolewa mpka saivi sijui yupogo wapi.
NILIJIFUNZA KITU KUWA WANAWAKE WANACHUKIA SANA KUDHARAULIWA
"Aliyekuwa" sio Sasa mzeeNimependa ulipoanza Ni yule aliyekuwa zezeta wa Mercy
Hapo sawaIla kwasasa siwez mdharau mwanamke au mtu yeyote
Mtafute muombe msamaha kama utaweza, kuna mambo unaweza ukawa umefungwa kumbe kuna wakati ulichezea hisia za mtu na ananung'unika kwa kuumiza hisia zake, kuna vifungo vingine sio lazima urogwe bali kuna mtu ananing'unika tu juu yako kwa yale uliyomtenda kihisia.Na utoto ulichangia
Yani uliacha mbunye mpya ukaenda kwenye mpira! daah! we jamaa wa wapi wewe!!!
sasa hivi 
Kabla ya kupotezana tulikuwa tushakuwa poa lakin hatukurudiana kama wapenzi tenaMtafute muombe msamaha kama utaweza, kuna mambo unaweza ukawa umefungwa kumbe kuna wakati ulichezea hisia za mtu na ananung'unika kwa kuumiza hisia zake, kuna vifungo vingine sio lazima urogwe bali kuna mtu ananing'unika tu juu yako kwa yale uliyomtenda kihisia.
Kabla ya kupotezana tulikuwa tushakuwa poa lakin hatukurudiana kama wapenzi tenaMtafute muombe msamaha kama utaweza, kuna mambo unaweza ukawa umefungwa kumbe kuna wakati ulichezea hisia za mtu na ananung'unika kwa kuumiza hisia zake, kuna vifungo vingine sio lazima urogwe bali kuna mtu ananing'unika tu juu yako kwa yale uliyomtenda kihisia.
Weeeeeeeeh Kudadadek nigeie dem wako atakusimulia magoliTunaweza tukawa tunamlaumu sana kumbe ameshaleft group kitambo sana yupo kwa kina applesasa hivi
![]()
Mm sio dunga dunga nadunga kwa hisiaYani uliacha mbunye mpya ukaenda kwenye mpira! daah! we jamaa wa wapi wewe!!!
😂😂😂😂😂 Nimecheka kwa sautiKadri unavyozidi kumpuuza ndivyo anavyozidi kukuganda.
Kuna kadem ka buku mbili nilikatongoza juzikati.
Sasa kakawa mda mwingi hakapatikani, nikakatext "vipi mbona sikuelewi".
Khee si kakasema kama hunielewi basi tuachane 😂😂, nilicheka sana.
Nikamtumia poa.
Akaanza kutuma sms kibao mimi ni sawa, poa, mara futa namba yangu. Nakaa lisaa ndo najibu sawa.
Mwisho skaanza kujirudi mwenyewe tena.
Wanawake ndo wanatoa mbunye kwa hisia, sisi wanaume tunatia popote pale madudu yetu yanasimama.Mm sio dunga dunga nadunga kwa hisia
Hiyo ni common sense lakin kuna exceptionalsWanawake ndo wanatoa mbunye kwa hisia, sisi wanaume tunatia popote pale madudu yetu yanasimama.
KabisaRaha ya mapenzi wote mpendane usipompenda yeye tu akupende unaona kero kwenye mengi anayofanya