DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,596
- 3,845
Ni yule aliyekuwa zezeta wa Mercy once again.
Ilikuwa mwaka 2016 kuna dem flan wa kitusi walikuwa wamehamia kijijini kwetu wakitokea huko walikotoka.
Sasa bahna huyo Binti ni mrefu mwembamba mweusi. Nilimuapproach akajaa lakini ni kama vile sikumpenda kisawasawa ni mihemko tu ndo ilinituma kumtomgoza.
Yule Binti kumbe yeye alikuwa ananielewa kwahyo kumuapproach kwangu kulimfurahisha sana na jambo alilipokea kwa bashasha sana.
Ujue kweli huwez pretend kumpenda mtu na wakati haumpendi. Honestly yule binti sikuwa nimempenda ila yeye kadri siku zilivokuwa zinasonga alikuwa ananielewa zaidi na zaidi.
Asilimia zaidi ya 75 ya pisi mashemej na mawifi zenu walikuwa wananizid umri na mpka mchumba wangu niliye naye now ananizid umri kama 2 years hivi.
Hii hali ya kutokumpenda aliinotice lakin akawa anafanya kila njia ili mambo yawe poa.
Nilikuwa simuombi show, alivoona simuombi show akaamua aanzishe mwenyew application, siku hiyo nilikubali lakini kwa shingo upande sana.
Siku hiyo ilikuwa jmoc nakumbuka mpka leo.
Binti aliiratibu show nzima (mahali pa kukutana)
Tulikubaliana mida ya saa kumi jioni tukakiamshe.
Ikafika saa kumi jioni jamaa zangu wakanipifia tukachek game uwanjani. Nikaona ujinga kwenda kuonana na dem ambaye sikuwa nampenda nikaenda kuchek game 😃😃.
Dem Wacha aanze kupiga cm sipokei anapiga sipokei.
Mwishoni nikamwambia nimeahirisha tutakutana siku nyingine.
Duu dem alikasirika sana akakata simu, sijakaa vizuri ilianguka bonge moja la mesej ndefu kinoma hafu mwishoni ikamaliziwa na bonge moja la tusi (mdomo kama kinena kilichotoka kunyolewa).
Wazee nilipotoka pale nilienda kujiangalia kwenye kioo labda nina domo kubwa nikakuta ni la kawaida tu nikabaki nawaza kweli huyu Binti amenitusi hivi?
Mimi sikumtukana nilimwambia tu "nashukuru lakini kwanzia saii tuachane".
Niliamini yule dem kweli alikuwa ananipenda maana akirud kwa kas ya 7G kuomba msamaha na kutaka turudiane.
Alimshirikisja mpka mazaa wake akanipigia tukaongea akasema tuyamalize na mwanaye tuendeleee lakini mimi niliona lile tusi ni sababu tosha ya kusalia na msimamo wangu.
Walikuja kuhama kijijini kwetu lakini akaendelea kunitafuta mwisho wa siku aliolewa mpka saivi sijui yupogo wapi.
NILIJIFUNZA KITU KUWA WANAWAKE WANACHUKIA SANA KUDHARAULIWA