Alinitenda, aliniumiza, nataka kumuadhibu

Alinitenda, aliniumiza, nataka kumuadhibu

dalalitz

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
3,475
Reaction score
2,082
Alitokea kuwa binti mzuri aliyenivutia machoni mwangu.
Tabia na busara zake vilistahili kusifika kwa mujibu wa nilivyomsoma na kumfahamu
ingawa ni kwa muda mfupi (kadiri ya miezi 6 ya uhusiano wetu)

Kifupi alikidhi vigezo vyangu binafsi,
Alistahili kuwa mama mtarajiwa wa watoto wangu wazuri kama tungejaaliwa kuwa pamoja.

Mwenyezi Mungu hamfichi mja wake.
Mbali ya kuwa mtaratibu, mkimya na mwenye kuonyesha kunijaali katika muda mfupi.
Binafsi, nilikuja kung'amua kuwa alikuwa yuko na kimuhemuhe cha kuingia katika ndoa na pengine ndio sababu ya yeye kuwa mnyenyekevu wa aina ile kwangu.

Tofauti na mie, Mimi mishale yangu ya uhusiano bado ilionyesha bado niponipo kamili kwa kipindi kile.
Ilinibidi nimuweke wazi juu ya msimamo wangu, kwa sababu sina hulka ya kucheza na muda wa wengine.

Basi bwana, binti kwa ujinga wake (nadhani) Kwakuwa pengine alikuwa 'desparate' na ndoa akaamua kujivisha Mabomu hivyohivyo.
Liwalo naliwe akiamini kuwa pengine nitabadilika mbele ya safari.
Akajiachia, Mguu-pande mguu sawa, Kanivulia 'Thong' yake.
Nifanyeje? Mzee mzima 'nikajilia' vyangu.

Maisha yakawa yanaenda.
Mimi niliamini muda muafaka ukifika hakika nitamvika Pete ya uchumba kidoleni mwake na mchakato wa kuhamia kambi ya wala 'Tunda kwa idhini rasmi' basi tutafanya hivyo (Nililenga kum-surprise baadae kidogo)

Baada ya miezi sita kupita katika uhusiano wetu, taratiiiiiibu binti akaanza visa vya hapa na pale.
Kwakuwa nilimpenda nilijaribu kumsihi kuwa asiwe mapepe awe na subira kwa kuwa siku zote mazuri hayahitaji pupa.
Hasa, Ukizingatia kuwa kuamua na kulikabili jambo ambalo tungedhamiria kulienendea (Ndoa)
Si la kukurupuka,Tungehitajika kujipanga haswa.

Lakini binti aliona kama vile namchelewesha,
Akaongea mengi sana.
Na hapo ndipo nilipoanza kuyaona kwa kiasi makucha na rangi yake halisi.

Nyodo zenye nakshi ya dharau kwa mbali vilitawala.
Nilijiaminisha kuwa kama hana Mtu anemtia kiburi (Kumshikia akili)
Basi atakuwa kapata bwana mtarajiwa aliemuahidi ndoa.

Mimi sikutaka wala kuhitaji sana marumbano, kwa roho safi niliachia behewa likatike.
Moyoni Iliniuma, na nilisikitika sana lakini sikuwa na jinsi.

Yapata miaka minne sasa. Naweza sema kidonda na maumivu ya uhusiano wangu na binti huyu vilishapona ingawa Naweza kukiri kuwa makovu bado yapo na yananipa kumbukumbu mbaya juu ya uhusiano wangu na binti huyu.

Hata hivyo ni wikimbili tu zilizopita;
Huyu bi dada kaanza mawasiliano mfulizo na mimi mithili ya mvua za masika.
Ni wazi yupo wanguwangu kama vile anataka kurudishia minyororo ya behewa la uhusiano wetu ambalo alilikata yeye mwenyewe kwa mikono yake mwenyewe.

Tumeongea mengi sana Lakini kikubwa kuliko yote.
Eti, Angefurahi kama tunge-spend weekend moja pamoja.
Nilipomuuliza ki-intelijensia kama hana mwanamme, akanijibu kifupi tu eti, "I'm free like a bird and ready to mingle."
Hajui tu anazidi kunitia kichefuchefu.

Nakiri kuwa binti huyu aliniumiza, alinitesa na alinikera
Kwangu mimi anastahili adhabu na si ndogo.

Wakati bado naifikiria adhabu ya kumpa natoa nafasi kwa wanajopo.
Kama kuna mwenye adhabu ambayo anadhani ni stahiki kumpa huyu binti au maoni ya nini nifanye pengine asisite.
kunipa.

NAWASILISHA.
 
Hastahili adhabu yeyote. Acheni uzinzi sio kila siku kulia lia wakati matatizo mnayatafuta wenyewe. Mimi hata nikizini nikiachana na mwanamke siwezi kuanza kulia lia eti sijui kanitenda, sijui nimpe adhabu. Kwanza kakukosea kitu gani hasa??!!!
 
4 years away alikua ameweka plasta kwenye papuchi au ndo alikua anagawa kwa kila rika..?? angalia kijana asije akawa

ndo yeye anakuja kulipa kisasi kesho kutwa tukakuzika na kilo 5 narobo..halaf unachowaza sio ujanja!!!
 
!
!
wadau humu ndani kuna shifti nini? duh hamlali ati teh teh teh teh. Anyway muite mkate bonge la banzi la uso akuyumba mpe bonge la tama na akuanguka kanyaga kabisa afu mwambie blad ful kenge manyoya.
 
Kisasi co usndi, kama alikuumiza ukasikilizia maumivu na ukawa ushamtoa moyoni mwako, ni mapito tu na jua kuwa hakuwa wako, xo msubiri wa kwako atakae jali hisia zako na kufuta kabisa maumivu yote. Nakushauri usije kufanya chochote juu ya huyo dada kwa lengo la kulipa kisasi.
 
Hakuna haja ya visasi ndugu, mwambie milango imefungwa ajaribu bahati yake kwingine.
 
Mle min kabang kisha umuache sio mbaya sana au mtaftie wahuni wampige mtungo kisha uachane nae sio mbaya.

Hizo ni adhabu ndogo ndogo tena unakua umemhurumia sana.
 
Huna sababu ya kumpa adhabu. Desperate times kwake hizi..kula wikiendi na bi mdogo huyo, after all she's a free bird, anatua mti wowote, wikiendi hii kwako..ijayo kwa mwingine...mie ningelamba afu namwambia next weekend gf anakuja so atue mti mwingine.
 
Brothr mwenye jukumu la kutoa adhabu ni sir God peke yake..by da way sheria,mila wala dini haiwatambui dat means uhusiano wenu ulikuw wa kihenyeji.HAUNA HAKI YA KUMFANYA LOLOTE HUYO BIDADA..Usipende kisasi brothr..2je kweny ushauri sasa, 4 yearz alikuwa wapi😕 mwambie afanye yake na wew ufanye yako 4 gud.
 
Usijaribu kumrudia wala kuwa karibu nae, wanawake ni viumbe zaifu sana na huwa wanaangalia hatua mbili mbele hawawezi kuona kumi zaidi.
 
adhabu kwa kipi sasa? mwambie hutaki baas...sasa kama aliona unamchelewesha afanyeje!!!

Huko alikoenda walimwahisha?kama jamaa alimchelewesha?

Mimi ningemtaftia wahuni wenye ugwadu wa kutosha wampige mtungo huku wanamrekodi. Hiyo ndio adhabu ndogo ningemchagulia.
 
Back
Top Bottom