jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,370
Khaaa ahahaha ahaah yawezekana ulikua humrizishi ukajua kutoa kijipasso chako na vijihela vya vocha ndio kila kitu mapenzi yasipokua na kurizishana ni 3-0 sasa kumla kabaang ukajua umemkomeesha kumbe yupo na maisha yanaendlea
Mapenzi ya Wanaume wa Dar khaa..[emoji3][emoji3][emoji3]
Ni kweli mkuuMkuu maisha ni uvumilivu,cha msingi heshima. Huyo ambaye hakupi hata kumi ndo kesho atakupa ghorofa
Walk away.Wewe ungefanya nini?
Ndio walimwengu mkuu kila kukicha hawatoshekiI'm speechless
Acha hizo mkuu uzi mrefu sana huoDuuuh mkuu umetisha nimebaki mimi kufanya ivo lazima nirevenge
Good for your health.from january 2017 ...free madam no drama bro .i life it si better to take a break rather than jumping from one issue to another .i learned a very big lesson !
Inawezekana mkuu,hayo ni maoni yako na nayaheshimu. Enzi hizi za wanawake Ku fake orgasm sijui wenzangu mnatumia njia gani kujua wenza wenu wanaridhika.Khaaa ahahaha ahaah yawezekana ulikua humrizishi ukajua kutoa kijipasso chako na vijihela vya vocha ndio kila kitu mapenzi yasipokua na kurizishana ni 3-0 sasa kumla kabaang ukajua umemkomeesha kumbe yupo na maisha yanaendlea
Mapenzi ya Wanaume wa Dar khaa..[emoji3][emoji3][emoji3]
Yes....Solution ni kujitahidi kukaa nae mbali zaidi,ungeanza kwa kutafuta kanisa lingine
Sorry to ask baada ya kukomoa kwa njia hiyo je unaendelea na mtandao wa tigo maana kuna kauli inasema ukianza huo mchezo huwezi kuacha na je kwa hali hiyo uoni umejiingiza kwenye kutenda kitu labda hukuwahi kufikiri katika maisha yako ungetenda japo umetenda kwa hasira?Ndo ishatokea and I can't do anything about it now,can I???
Pole sana mkuu lakini ungeelezea tungejifunza kutokana na wanayopitia wenginesiku nikielezea story yangu humu mtakufa wote.kuna watu wanyama jamani acheni tu .ila nimemuachia Mungu tu
acha tu ngoja na mimi nikifanikiwa kulipiza nitaleta majumuisho kama huyu mdauPole sana mkuu lakini ungeelezea tungejifunza kutokana na wanayopitia wengine
yes rrondo hakuna haja ya kubeep mapenzi kama moyo hautaki acha. mapenzi hayajaribiwi utaishia tu kumuumiza mwenzio.mapenzi ni uwekezaji unaitaji hela,muda ,uwajibikaji na matokeo chanya!Good for your health.
fursa hyo mwajuma hebu ongea nae vizuri ukalee mapachaAcha kuidhulumu nafsi yako wewe unahitaji mwanamke wakukupenda umpende hata kama una miaka 50. Haya maisha ndo haya haya hajazaliwa peke yake.
"..wanasema usipende kupitiliza.."Wanasema usipende kupitiliza i.e. 40% zingine jiachie mwenyewe. (Sawa Sikatai)
Ila kumbukeni unavyozidi kuishi na mwanamke ndio unavyozidi kufunguka moyo wako kwake, siku mki break up most likely from betrayal issues, wandugu the pain is unbearable (nimeshapitia hii najua, naelewa nina experience, it pains a lot. Nimeshawahi jihisi nina matatizo ya moyo (heart attacks) sababu ya mapenzi haya haya)
Nilikua nasali na huyo mwanamke kanisa moja huwez amini kila nikimuona kanisani ibada yangu inavurugika kabisa nakua na hasira sana, majonzi na maumivu sana moyoni zikipigwa nyimbo za kuabudu kanisani nakosa nguvu mpaka nakaa kwenye kiti jicho limeiva chozi hilo....ilibdi niwe na attend ibada ya pili (alikua akija misa ya kwanza). The best revenge is forgiveness and let her know ur happy and successful without her (ilimsumbua sanaa, kashagongwa sana kuachika).
I found a new love a woman way better, a woman that respects and values me deeply. Im happy now.
Hahaha kama kawaida yako jiraniNatamani kujua I'd yako ya zamani
Inawezekana mkuu,hayo ni maoni yako na nayaheshimu. Enzi hizi za wanawake Ku fake orgasm sijui wenzangu mnatumia njia gani kujua wenza wenu wanaridhika.
FUNNY THING
imekua ni zama ya kila mwanamme kujitapa kwamba ye ni kiboko sita kwa sita huku wimbi la wanawake wanaolalamika kutoridhishwa likiongezeka
Am so confused!!
mmmmmh[emoji1]Mmmmh