Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Anayekula na anayeliwa tigo wote ni matatizo.

wee uliona sawa kuchomeka kwenye mavi...ha ha ha ha

hukujitendea haki aisee...

hujisikiagi kujihukumu??
Ndo ishatokea and I can't do anything about it now,can I???
 
bro we una moyo kama wangu mie nilizinguliwa na dada mtu nikachukua mdogo mtu toka nitoke ilikuwa bonge la kisasi ila saa hii najutia haikuwa poa, sema sometime unaona kama ulikuwa ujana tu
 
You made a little bit of sense, ila kumshawishi kumwingilia kinyume na maumbile kama kulipa kisasi wasn't fair kabisa .Kumbuka ilisemwa " kama unavyofanya nawe utafanyiwa tu".
Mkuu am not proud of that,ila ndo ilishatokea. Na influence ya pombe pia,maana huo mwezi sidhani kama nlipata some 'sober moments'
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana, nilikuwa na mwanamke nishamtolea mahali na akawa mjamzito kwa bahati nzuri nikapata scholarship kwenda kusoma nikimuacha kwangu ili nikitulia na shule tufunge ndoa!!
Baada ya miezi michache akijifungua na baadae mtoto kufariki, baada ya miezi michache nikawa nikipiga simu usiku iko busy sana, nikimwuliza anasema anaongea na kaka ake nikumwuliza tena kila siku mnaongea usiku tu?
Halikunipa shida sana, bahati mbaya nilipata msiba nikarudi home nilifika usiku sana, asubuhi kulipo kucha nikamwambia inabidi twende msibani lakini sina hela akanijibu ngoja niende kwa Dada ataniazima, nikasema sawa lakini ukweli nilkuwa na hela.
Baada ya kurudi akasema haja pata amesema atamrushia kwenye mpesa twende tu nikasema poa, tukiwa tupo stand simu yake iliisha charge akasema aweke laini kwangu nikasema poa, lakini simu nilibaki nayo Mimi!!
Baada ya mda iliingia sms ya mpesa ikiwa imetumwa tu kama text ya kawaida na ikafwata SMS ya kuwa umepata mke wangu?
Nikamwuliza huyu ninani akasema nishemeji yake, mimi nikampigia yule aliyetuma ile hela bahati nzuri jamaa alionesha ushirikiano mkubwa sana!!! Swali langu kwake lilikuwa vipi umekosea namba? Akasema hapana, nikamwuuliza tena huyu uliye mtumia hela unamfahamu na kama unamfaham ni nani yako? Akajibu na mfahamu ni mchumba wangu ameniomba hela anaenda msibani, nikasema ok!!!! Tulivyo fika kijijini simu za yule jamaa zilikuwa ninyingi sana ikabidi niongee nae kumweleza ukweli ulivyo akawa pia anashangaa!!!
Kwa kufupisha baada ya hapo nilimfukuza kama mbwa mwizi na nilipigiwa simu na wazazi wake na Dada zake lakini sikukubali ule ujinga, ndio ikawa mwisho wa yote
 
bado unakula tigo au umeacha?
Mkuu sina hio hulka, hiyo ilikua ajali kazini wala hata sikumbuki the feelings maana nilikua Nina pombe nyingi sana kwenye system karibia the entire one month
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…