Fainali ya kombe la dunia Brazil kati ya Argentina na German, nikasema, mm napenda German ishinde. Jamaa m1 dreva akaniuliza, Ujerumani iko Afrika? Na alikuwa serious, nikaogopa kwa maana mtu anayeweza kuendesha gari barabarani ana akili,ss hajui Ujerumani iko wap?