Alinipenda sana ila amebadilika

Alinipenda sana ila amebadilika

Anakataa kabisa kuacha kukuita mpenzi?Basi na wewe endelea kumkatalia asikuite mpenzi kama ye anavyokukatalia kuacha mpaka siku mmoja wenu atakapokubali anachotaka mwenzie.
 
We soma, mahaba yapo tu na hayalipi bili ya umeme wala kulipa ada.
 
Endelea Na Mambo Yko Ww Mpotezee Tu Kwan Akikuita Mpenz Kuna Tatzo Mbn N Neno La Kawaida Tu!
 
Unatengenezewa mazingira.

Wewe umewekwa kiporo
 
Back
Top Bottom