Sensei Tai
Senior Member
- May 26, 2022
- 168
- 466
Reject sio?..Soko lishamtupa
OutdatedReject sio?..
Mtaachana tu vina muda basi
Nishakutumia namba yakePole kwa changamoto unayopitia, bila shaka huyo binti ni mpweke.
Mimi Vishu Mtata nitakusaidia bila malipo, cha kufanya nitumie pm namba ya huyo binti kwa msaada zaidi.
Pole sana mkuu.
Kaamani hujambo 😁Mtaachana tu vina muda basi
Sijambo, ni nyingi😂, kaamani ni nyingi, 😂Kaamani hujambo 😁
Kwahiyo hapo unakuta anataka kumkomoa mwanamke mwenzake? Ni kwanini wanawake wanapenda competition wao kwa wao? Alafu ni kweli mkuu wanawale hawapendani? Carlos The JackalSiunaona, kama ilivyo Kwa mwanamke akishaolewa, basi jamaa zinaanza kumfukuzia Kwa kasi.
Hata sisi Wanaume ukishaoa , Wanawake wanakufukuzia, tena kwao inazidi kwakua mwanamke siku zote za pumzi yake Huwa yupo kwenye competition na mwanamke mwenzake.