Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
Yeah man! Mkopeshe tena
mshikaj nilifahamiana nae mkoa,nilikuwa nikifanya kazi huko.kuna siku alikuja kunikopa laki tatu coz mambo yake yalimuendea kombo.nilimdai kwa muda wa miaka miwili hatimae aliniahidi nikachukue.siku nilipoenda kwake kuchukua hela nikakuta alishahama ana wiki moja.huo ndo ukawa mwanza na mwisho wa simu yake kupatikana.nilipata tetesi kaja dar.baada ya miaka 4 baadae na nikahamishiwa dar.ni jana nimekutana na mzee mwenzangu tegeta.anadai hali yake ni mbaya na kama nina kiasi cha laki 5 nimkopeshe abustie biashara yake coz kwa sasa haifanyi vizuri.
nilibaki namshangaa coz laki 3 alikimbia nazo but nahisi huruma cjui nimkopeshe tena?
Kama unamsaidia msaidie tu, ila kurudisha sahau.Ila iko siku atajifunza kitu.Tena wala usikumbushie za nyuma
Mpe kama unazo lakini usimkopeshe
Yani hujajifunza tuu?
dah mkuu nikikumbuka alivyonisepa tena kwa kunidanganya.tumewasiliana kwa simu fresh akaniambia niende home kwake nikachukue changu afu nakuta kumbe keshahama na simu kazima.afu tena leo nitupe kilo tano kiaina?
mnyime tu maana ushamzalilisha vya kutosha huyu jamaa khaaamshikaj nilifahamiana nae mkoa,nilikuwa nikifanya kazi huko.kuna siku alikuja kunikopa laki tatu coz mambo yake yalimuendea kombo.nilimdai kwa muda wa miaka miwili hatimae aliniahidi nikachukue.siku nilipoenda kwake kuchukua hela nikakuta alishahama ana wiki moja.huo ndo ukawa mwanza na mwisho wa simu yake kupatikana.nilipata tetesi kaja dar.baada ya miaka 4 baadae na nikahamishiwa dar.ni jana nimekutana na mzee mwenzangu tegeta.anadai hali yake ni mbaya na kama nina kiasi cha laki 5 nimkopeshe abustie biashara yake coz kwa sasa haifanyi vizuri.
nilibaki namshangaa coz laki 3 alikimbia nazo but nahisi huruma cjui nimkopeshe tena?
haitasaidia zaidi ya kumshauri aache tamaa tu..mtaje jina na mkoa ili asije tapeli wengine