Mkuu nilimweka akiba kwa matumizi ya ndoa naona analeta matege
"June mwezi wa tisa" ndio mwezi gani?
Kuna binti nilikuwa naye kwenye mahusiano ni mwaka sasa huyu binti nilifahimiana naye alipokuja ofisini akiwa kasahau password. kufupisha stori tukawa kwenye mahusiano na kama kawaida nikaomba mzigo fasta akachomoa kuwa hajawahi sex na hana mpango wa kusex kabla ya ndoa yupo selaed na jinsi nilivyofuatilia intelijensia yangu ikaonesha hana mahusiano nika propose ndoa akakubali kuwa akimaliza chuo june mwezi wa tisa tunaanza na process za kutambulishana matatizo yaliyopo sasa.
1. anadai kuolewa mpaka june mwakani akishapata ajira yeye anasoma education. nilivyokubali likaja tatizo la pili.
2. anadai hawezi olewa mpaka dadake aolewe. nikimuuliza dadako ataolewa lini hajui manake na ndoa yetu haijulikani.
nahisi kitu kimoja alinidanganya kuwa bikira na hii kitu inampa shida hataki hata kuongelea tena toka aniambie nipo dilemma sababu kila siku lazima awasiliane na mimi na anaweza kuja kwangu hata bila kuniambia jamani mlishakutana masharti ya ajabu hivi au nimpotezee manake naweza pata mwanamke at any time t hapa nilipo.
Nawatakia safari njema ya matumaini.
"June mwezi wa tisa" ndio mwezi gani?
Sidhani .........kachanganyikiwa apo anamaanisha june alaf kafafanua kw kswahl mwez wa sita.
"June mwezi wa tisa" ndio mwezi gani?
Halafu sidhani hata na yeye anayo ....Msamehe bure anawaza bikira