Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,812
Teh teh hakukushawishi bana, wewe mwenyewe ndo ulijishawishi kula Ada. Pole sana mkuu
Mie nakumbuka kidemu changu ndio alinifundisha kuvuta bangi kipindi hicho o level tunaishi magheto.....
Ngoja nikumbuke
Network fail!
si kila mtu haya mavitu humkuta.......dah! Leo nimemkumbuka mbali sana nimekumbuka msichana mmoja anaitwa ana, alinishawishi kula ada ya shuleni mpaka ikapelekea kufukuzwa shule na baadaye aliniacha dah! Niliumia sana.
Na wewe tupia tukio lililowaikukuta kwenye mapenzi.
fungukaa