Aliniacha sasa ananisumbua

Mkuu hili swala si la kuomba ushauri, inaonekana badi unamtaka. Kama humtaki kweli usipokee simu au mweke blacklist
 
mchane mapema maana si wanaume kwa kujifanya kujikumbushia enzi...... usije nasa tena.... maana hauwezi jua ana nia gani na wewe.... ushamwambia una mtu na mwakani unaoa... ila yy ndo kazid kukutafuta... Muonye aachane na wewe mapema
 
kutopoke cm ya mtu yeyote ni ushamba na utumwa.sim yako alafu unamuhofia mtu....mtu yeyote usietaka mawasiliano nae unatakiwa upokee cm yke umwambie LIVE/UKWELI sitaki unipigie....akiwa mbishi 1.utamblock 2.kukata akikupigia 3.acha kupokea..usipomwabia chochote alafu ukauchuna unakuwa ujamtendea haki..so mwambie kwanza then akiendelea utachagua kati ya hayo matatu juu hapo...
 
 
kwani unatumia simu gani?cnt u block her calls & sms?
 
mhhhh inategemea na kosa na mbwembwe alizoondoka nazo...mi kuna watu hata afanye nini saivi sirudi ng'oooooo,hadi yesu arudi Neverrr,
na kuna wengine i might consider hivi

Bila shaka wamekupitia wengi sana
 

Umenena
 
Mkuu unakimbia mchepuko?
Zari la mentali hilo mwanangu;mpige nao usiogope bana kaja mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…