Aliniacha mwenyewe, leo kaanza kuniomba turudiane. Kuna haja kweli ya kuwa na mtu wa namna hii?

wakati mwingine lazma upime upepeo kama unapendwa,,ila ww inaonyesha hukumpenda maana mimi niliumwa karibu mwezi sina hamu ya chakula kisa kuzinguana na mpenzi wangu,,,mapenzi ya kweli lazma wivu,,,na mtu akishakiri makosa msamehe kama hujamreplace,,ila ww nawasiwasi na ww.........

Umekosa appetite kula kisa love.

Mapenzi ya kizamani sanaa hayo. Kuumizwa kupo na wengine tumepitia hayo....ila kula lazima nile alaaa.

Sema ndio ile hali at tyms ukiwa mzigoni focus inapotea flan hivi nd it really disturbs ur mind. When ur alone its even worse....

e.g. unaweza ukawa restaurant unakula let say sea cliff uko mwenyewe seing people walkin wit their partners unaumia sanaa, basi suffering such an experience unakuta kifua kinakua kizito ila ndio vile unajikaza kiume (On the outside it looks all good/calm but deep inside ur dying)
 
kuwa makini watu wao wanaendeshwa na penzi jipya kila akipata mpya atakuita kila aina ya tusi wakiachana anarudi kwa yoyote hapo anavyokuomba mrudiane hakuombi wewe tu.
Eti mzinzi yeye ni bikra? nlishaitwaga kahaba na mtu ambaye hajawahi nihonga,nilisha& kunirushia vocha sijui angekuwa ananitunza ingekuwaje BBC london wangejua! watu wa aina hiyo kama wako hawakaagi kwenye mahusiano mda mrefu wanajionaga perfect sana na kuwajudge wengine!

Kuwa makini upo kwenye 5 bora za kurudia kila akiachwa
 
kama hujaambatana na mtu mwingine ni vyema ukamsamehe!!ule ulikuwa wivu kwako anakupenda tu!!halafu na wewe una makosa makubwa!!yani mpenzi wako akutext halafu ujifanye bizeee!!we vipi?naye ni mwanadamu alihisi umemdampo!!!
 
wakati mwingine lazma upime upepeo kama unapendwa,,ila ww inaonyesha hukumpenda maana mimi niliumwa karibu mwezi sina hamu ya chakula kisa kuzinguana na mpenzi wangu,,,mapenzi ya kweli lazma wivu,,,na mtu akishakiri makosa msamehe kama hujamreplace,,ila ww nawasiwasi na ww.........
Jamaa alikuwa na wivu na alichojaribu kufanya ni kuonyesha kuchukizwa japo kosa lake ni hasira za karibu zili mdrive vibaya...na ali mute kuona nin girl atafanya after kumwagana...but yamemshinda kaona ajirudi huyu perry inaonesha hakumpenda jamaa..
 
Za leo jamani?
Miezi kama miwili iliyopita nilikua kwenye mahusiano na mtu flani ambae kwa upande wangu namuona kama mkatili flani hivi.

Kisa kilianza siku fulani ilikuwa jmosi kuna issue nilikua nafuatilia mitaa ya posta na hiyo issue yeye pia alikua anaifahamu coz nilimshirikisha.

Sasa basi siku ya siku nimeamka alfajiri kuwahi usafiri ili nifike mapema na kiukweli nikiri kuwa huwa nina kawaida ya kumsabahi kila asubuh naye huwa ananisabah kila jioni akitoka kazini..

Sasa siku hiyo nikajisahau kumsabahi na mpaka ilivyofika saa 7 mchana hakuna ambae alikua kamcheck mwenzie but thanx kwenye saa 8 hivi akawa kanitext kunisabah ila kutokana na ubize niliokua nao nikashindwa kumjibu on time ingawa text yake niliiona mapema tu.

Nilivorudi home jion ndio nikaona ni muda muafaka wa kumtafuta lakin kila nikipiga simu hapokei wala hajibu texts zangu.

Basi mi nikaona nisimsumbue nikalala zangu..kesho yake asubuh nikampigia akapokea lakini cha ajabu aliniporimoshea matusi ya nguoni..kilichoniuma zaidi akaniita mi mzinzi na akaniambia kuanzia siku hiyo nisithubutu kuipiga namba yake, mi nikamjibu tu nashukuru na nitatekeleza yote aliyiniambia.

Nikafungua ukurasa mpya wa maisha yangu nikaona hakuna umuhimu wa kuwa na mtu yeyote kwa sasa kama mambo yenyewe ndio haya..

Sasa toka juzi huyu mtu ameanza kunisumbua kutaka kurudiana na mimi. Juzi kanitumia text kuwa anaomba msamaha na tuyasahau ya nyuma na turudiane na eti amegundua mi ndo mtu sahihi kwangu.sijamjibu kitu..anapiga simu me sipokei wala simjibu chochote.

Sasa nimeanza kumuona kero kwangu, je wakuu mtu kama huyu kuna haja ya hata kupoteza vocha zangu kumjibu chochote au nimblock mazima?
Mwambie wewe sio mwanaume wa majaribio kama kweli wewe sio mwanaume wa majaribio.
 
kama hujaambatana na mtu mwingine ni vyema ukamsamehe!!ule ulikuwa wivu kwako anakupenda tu!!halafu na wewe una makosa makubwa!!yani mpenzi wako akutext halafu ujifanye bizeee!!we vipi?naye ni mwanadamu alihisi umemdampo!!!
nilichokua nakifanya alikua anakifahamu ..sasa wivu unatoka wapi hapo?
 
Chanzo ni wewe kwanini ulimzoesha kila siku kumtext halafu hiyo siku ukastop bila taarifa? Ila pia pole maana huyo jamaa yako naye ni mwehu yaani unawezaje kumporomoshea matusi mtu kwenye simu?

Anyway mi nakushauru mkutane na jamaa face to face halafu muongee na umuulize ni kwanini alikutukana. Huwezi kuvunja uhusiano kwa sababu ya kutukanwa tu, ikiwa uvumilivu wako ni wa kiwango hiko maisha ya ndo hutayaweza maana utavunja ndoa kila siku. Maana i guarantee kuna siku utapata matusi na kichapo juu sasa sijui utakimbia pia.

Halafu mi naona ni vizuri zaidi uhusiano ukaanza kupitia kwenye misukosuko kama hii ili baadae ikitokea akikutukana uchukulie kawaida tu, na kama kweli umeamua kuvunja huu uhusiano wako basi hii sababu dhaifu sana.

Kwa hiyo mi nakushauru mkutane na jamaa physically kisha kila mtu atoe dukuduku lake muyamalize. Halafu ili kesi iishe vizuri lazima @mnaantombe kidogo msahau yaliyopita.
 
Jamaa alikuwa na wivu na alichojaribu kufanya ni kuonyesha kuchukizwa japo kosa lake ni hasira za karibu zili mdrive vibaya...na ali mute kuona nin girl atafanya after kumwagana...but yamemshinda kaona ajirudi huyu perry inaonesha hakumpenda jamaa..
inabid atafute movies inaitwa two can play that part itamfungua macho,,,
 
Kuna vitu vingine haviitaji ushauri, jishauri mwenyewe hlf chukua hatua.
 
Nyinyi hampendani na mapenzi yenu yalikuwa ya kuviziana na kukomoana kwamba mpaka mmoja aanzishe gesture fulani ya mapenzi ndio mwingine nae aonyeshe mapenzi. Kwa kifupi hamuwezi kuja kupendana, mchunie uachane nae na utafute mtu mwingine utakaempenda kweli.
 
Hii ni story ya upande mmoja!! Kuna uwezekano ulikuwa humpendi kwa dhati huyo mtu wako. Hukuonyesha jitihada zozote za kutetea penzi lako. Lakini pia inaonyesha hata kabla ya tukio lililowatenganisha kulikuwa na viashiria vingine vibaya ulivyokuwa unamuonyesha kwamba haukuwa serious kwenye relationship yako. Ni kama alikuwa anakuvumilia tu kwasababu ya kutokutaka kugombana na wewe au upendo alionao kwako.

Ushauri: Kama hujaanzisha uhusiano mpya na mtu mwingine na kwamba unaweza kujifunza kumpenda, basi sio vibaya ukamkubalia msamaha wake. Naamini amejifunza vya kutosha. Ninatarajia na wewe uwe umejifunza.
 
hapo hakuna kosa ila wote mlishidwa kujuwa namna ya kutatua tatizo....yeye alikuhisi vibaya na wewe ukashidwa kumuelewesha......kama bado unamuhitaji we mrudie ila mapenzi ni ya wawili....
 
Back
Top Bottom