Comfucious pedagogy
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 211
- 39
Anataka kurejesha majeshi ila anaanzia mbali
Kawaida sana, mtu yeyote anaweza tuma ivo. But kwa case yako, acha kujikomba mbona wanawake wamejaa tu
Haaaaaaaa haaaaaaah yangu macho tuuu...!? Bussy day but hembu waza kama ukimuomba game akatae utasema anakushobokea but akikubali utasema anakupenda sana eeeehh..!old is gold
mh!sio kweli
Watu wanapenda maneno ya kufariji...!!
Watu wanapenda maneno ya kufariji...!!
Kwa hiyo unalazimisha tukwambie anakutaka tena?????? mmmh!!!!!