Aliniacha, akaolewa, anaomba turudiane

Aliniacha, akaolewa, anaomba turudiane

We jamaa jambo lipo wazi kabisa ushauri wa nn tena unataka embu tulia na mkeo unachokitafuta utakipata tu
 
mamamzungu Mpuuzi mwenzio huyu huku,alikataliwa sasa anatakiwa baada ya jua kutua,kama wewe unavyomlilia Salim aliyeao na kua na watoto tayari.
 
moderators wangeweka jukwaa la mambo ya kijinga ndipo sehemu ambayo uzi huu ungefaa
 
Wanaume wanazidi kupungua hawawezi kufanya maamuzi magumu hata kwa vitu vidogovidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom