saligongo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 305
- 355
Inaumiza sana!!
Nilikuwa naanza kazi by then nikiwa na kababy kangu small 5 kwa kimo chake, nilimpata wakati nipo form 3 na yeye form one, ni miaka takriban 8 imepita tangu animwage, nilimpenda sana kimwana huyo, naye alikuwa ameajiriwa kipindi hicho, lakini ghafla akanitupilia mbali na ghafla nikasikia anaolewa na jamaa mwingine aliyekutana nae kazini.
Wiki mbili zimepita ananitafuta na kudai nimsamehe na anajutia kuolewa na jamaa, wana mtoto mmoja na Nina mke na watoto pia.
Nilikata tamaa nae lakini amerudi maishani na anataka azae na mimi..!!!
Naombeni ushauri nimgegede au nimkaushie?