Alimkataa mtoto, baada ya kupata wafadhili anamuhitaji

Alimkataa mtoto, baada ya kupata wafadhili anamuhitaji

Huyu ni mvulana na sio mwanaume.
Huwezi kukubali kuishi na mwanamke mwenye mtoto halafu umkatae mtoto wake.
Kwan mtoto anakosa gani?!!
 
Nyumba ijengwe kwa bibi na kwa mantiki hiyo mtoto ataendelea kuishi huko huku akifadhiliwa...
What I meant is..kama alishindwa kusimamia mtoto akaishi nae unadhani hilo ndo ataliweza?! Msimamo alitakiwa kuonyesha tangu mwanzo na sio baadae.
 
Huyo mdada angekua Mimi mbona ningemwambia kwanza huyu mtoto babake alikufa zamani Sana aliliwa na simba mbele ya macho yangu sasa wewe nakuona unanichawia kusema huyu mwanao, sababu mama ndio anajua baba wa mtoto wake na wewe sio baba wa mtoto huyu full stop... Staki mwenzie basi, au Kama bado Amepagawa na michezo ya mzazi mwenzie hiyo tena jambo jengine...
 
What I meant is..kama alishindwa kusimamia mtoto akaishi nae unadhani hilo ndo ataliweza?! Msimamo alitakiwa kuonyesha tangu mwanzo na sio baadae.

Sidhani kama ana kifua hicho na ndio maana anasaka ushauri wa nini afanye...
 
Huyo mdada angekua Mimi mbona ningemwambia kwanza huyu mtoto babake alikufa zamani Sana aliliwa na simba mbele ya macho yangu sasa wewe nakuona unanichawia kusema huyu mwanao, sababu mama ndio anajua baba wa mtoto wake na wewe sio baba wa mtoto huyu full stop... Staki mwenzie basi, au Kama bado Amepagawa na michezo ya mzazi mwenzie hiyo tena jambo jengine...

Shostito unaanza kuleta Za kimanga na Za kitanga eeh? Mwambie mwenzio aende Kwa mzazi mwenzie...
 
Wanaume mizigo kila siku wanaogezeka kweli nowadays baada ya kuona hela eti ndo anampenda mtoto abaki kwa bibi yake tu
 
Huyo mwanaume shetani mpumbavu anampendea huyo mwanamke kimaslahi. Mwanaume anayekupenda kweli hawezi kukataa mtoto wako. Ningekuwa shogako ningeondoka kwa huyo.mwanaume nikaishi na.mwanangu. Kama wanaume wa kukutia miti tu tupo tutakusaidia hata Mungu atatusamehe tu. Wanaume tubadilike.
 
Hahaaa hahaaa. ..ila kweli asikubali kabisaaa hao wafazili wasije sepa buree. ..akae uko uko kwa bibi
 
jamaa kachemkkumkataa mtoto hakujua ukipenda boga, penda na ua lake
 
wapendwa kuna rafiki yangu alizaa na mwanaume lakini hawajaoana.

akapata bwana mmoja akamuoa kwa ndoa wakati huo walikuwa wanaishi na huyo mtoto wake (miaka 4) baada yakuishi miezi sita yule bwana akamchachafya hahitaji yule mtoto amrudishe kwa bibi yake au ampe baba yake. japo baba mtoto alimkataa kabisa. yule dada akazungumza na wazazi wake wakamwambia ampeleke.

wakati yule mtoto akiwa na miezi 7 kuna wadada wawili kutoka schotland na mmoja kutoka hongkong walikuja kufundisha mambo ya first aid,wakawa wanaishi nyumba moja kaa wapangaji wakamuuliza baba mtoo akawaambia alimkataa, wale wadada walimpenda sana yule mtoto walikuwa wanamtumia card mara kwa mara.
siku moja akawabadilishia adress ili cards ziende kule alipo( kwa bibi) wakahoji kwanini haishi na mtoto akawaeleza mume wake hataki. wakamwambia watamsomesha huyo mtoto na mahitaji ya kila mwezi watamtumia bibi yake dolar 135. na pia wanahitaji wamjengee nyumba aweze kuishi na mwanawe.
dada akawaambia hiyo nyumba wajenge kule kwa bibi mtoto alipo.

huyo mmewe kageuka anataka huyo mtoto arudishe ili eti wathibiti hizo hela anazotumiwa sisiharibiwe zimsaidie badae mke kakataa ugomvi umeibuka anaomba ushauri tumaidie

Huyo dada kwao ni Sengerema?
 
Duuuh! Mtoto anatia huruma! Mungu amkuze

Hakyanani km ningekuwa mm aisee ni heri kuvunja ndoa kuliko kuishi na mwanaume dizaini hiyo....uchungu wa mwana aujua mzazi.
Mahangaiko ya miezi 9 plus uchungu wa labor hlf eti mtoto aende kwa bibi kisa nataka ndoa! Thubutu, huyo dada bora ajinasue mapema maana hapo hajapata bwana ila gumegume hilo.
 
What I meant is..kama alishindwa kusimamia mtoto akaishi nae unadhani hilo ndo ataliweza?! Msimamo alitakiwa kuonyesha tangu mwanzo na sio baadae.

Umeona eeeh, Iam so sorry lkn mdada nae ni mbulula n inaonekana kashikiwa akili na hilo jamaa. Yaan hajielewi, hd huruma kwa mtoto. Malaika wa Mungu anateseka kisa mama kapenda ndoa.
 
Uko sahihi aisee, ningemchagua mwanangu, kweli nawekewa mbele yangu mwanaume na mwanangu, yani sitajipa hata sekunde ya kufikiri nitaichagua damu yangu,
Mtoto kakataliwa na baba mzazi, kakataliwa na baba wa kambo, kakataliwa na mama!!! wanamjaza mtoto roho ya kukataliwa uwii! Ndo mana naishia kusema Mungu amkuze maana kuna walotupwa vyooni Mungu akawaokoa na maisha yanasonga!!!!!
 
Nyoko zake huyo mwanaume

Hakuna kupewa mtoto wsla nini

Anyway siku hizi bado wafadhili wanajengea nyumba watu.....
 
Back
Top Bottom