alikuwa demu wangu

hapa naona mawili kwanza hayo maneno yanafaa kutengezewa songi.Mtafute Ally Choki , Saleh Kupaza , au Nyoshi El Saadat. Plili naona huyo dem anakufanya BABU JINGA vaa uso wa mbuzi usonge na maisha yako.hakuwa mwaminifu toka zamani
 
Mimi naona tatizo sio yeye ni wewe huwezi kumkunja hadi analeta ukurugenzi unaupokea angalia utapokea na ulibwi tena bado unataka kudate duu we jiwe

Sisi huku Arusha tumeambiwa hata likisimamishwa jiwe na ccm, tutalipigia jiwe kura labda ndo hili. Samahanini kwa kutoka nje ya mada.
 
hujatuambia mwanzo ulimpa nini? kama ulimlambisha asali na huko anakokimbilia anakuta chumvi unategemea nn?
 
ndugu nashukuruni kwa ushauri wenu..ni hivyo jana tu kanipigia simu muomba nimsaidie pesa anaumwa..na nimjamzito wa miezi mitano kwa jamaa aliemtosa..kweli kama nibadamu utamchunia kweli..hapa najua imegeuka ukaka..nina demu wangu kwa sasa..lakini huyu nimeshindwa kumtolea nje kabisa ndugu zangu..ila nahitaji kupumzika..na matatizo yake kila siku, nilishawahi kumpa mtaji wa biashara ili tuachene kwa amani ..cha ajabu akala wote..ndio akaibukia na mimba iliyokataliwa..niko njia panda..maana ubinadamu unanisuta kumtenga na mimba yake..ingawa sio yangu..ninatarajia kuoa mwaka huu..lakininaona haya mawasiliano yetu yataniharibia mambo yangu..mbinu bora ya kumwaga ni ipi nahitaji ushauri..
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuu.... kaka unaendekeza sana ana nini? Gold...or Silver, najua UNAMPENDA hapo au udanganyi mtu sasa sikia maneno haya yatakusaidia.
'' kukaa au kuishi na mwanamke ni Neema ya Mungu, na mke wako toka uchumba utamjua kwa hili UTII NA UPENDO"
HUYO HANA UPENDO WALA UTII NAKUOMBA MUACHE HAKUPENDI UNAJIUMIZA TU.,,,,
 
ndugu nashukuruni kwa ushauri wenu..ni hivyo jana tu kanipigia simu muomba nimsaidie pesa anaumwa..na nimjamzito wa miezi mitano kwa jamaa aliemtosa..kweli kama nibadamu utamchunia kweli..hapa najua imegeuka ukaka..nina demu wangu kwa sasa..lakini huyu nimeshindwa kumtolea nje kabisa ndugu zangu..ila nahitaji kupumzika..na matatizo yake kila siku, nilishawahi kumpa mtaji wa biashara ili tuachene kwa amani ..cha ajabu akala wote..ndio akaibukia na mimba iliyokataliwa..niko njia panda..maana ubinadamu unanisuta kumtenga na mimba yake..ingawa sio yangu..ninatarajia kuoa mwaka huu..lakininaona haya mawasiliano yetu yataniharibia mambo yangu..mbinu bora ya kumwaga ni ipi nahitaji ushauri..

wewe ndo unayemwendekeza na kumpenda sana. Lasivyo ungekuwa ulishakata mawasiliano. Na huwa kwa kawaida huwezi kuwasiliana na mtu anayekusaliti mara kwa mara na hasa ukiwa humpendi.
 
ndugu nashukuruni kwa ushauri wenu..ni hivyo jana tu kanipigia simu muomba nimsaidie pesa anaumwa..na nimjamzito wa miezi mitano kwa jamaa aliemtosa..kweli kama nibadamu utamchunia kweli..hapa najua imegeuka ukaka..nina demu wangu kwa sasa..lakini huyu nimeshindwa kumtolea nje kabisa ndugu zangu..ila nahitaji kupumzika..na matatizo yake kila siku, nilishawahi kumpa mtaji wa biashara ili tuachene kwa amani ..cha ajabu akala wote..ndio akaibukia na mimba iliyokataliwa..niko njia panda..maana ubinadamu unanisuta kumtenga na mimba yake..ingawa sio yangu..ninatarajia kuoa mwaka huu..lakininaona haya mawasiliano yetu yataniharibia mambo yangu..mbinu bora ya kumwaga ni ipi nahitaji ushauri..

safi sana kwa kumsaidia ila km anakuharibia mambo yako stuka stay far away from her ,yaani kwa namna unavyomfanyia huyo mwanamke hata huyo mchumba wako atakuwa anaumia sana kwasababu ni dhahiri unaonesha kumpenda sana na kumjali mno........mwache dunia imfunze jenga maisha yako.
 
Sisi huku Arusha tumeambiwa hata likisimamishwa jiwe na ccm, tutalipigia jiwe kura labda ndo hili. Samahanini kwa kutoka nje ya mada.
siyo ccm ,ni cdm ndiyo wakisimamisha hata jiwe arachuga against mtakatifu yeyote kwa tiketi ya ccm watalipigia kura jiwe la cdm.
 
Back
Top Bottom