Alikuwa binadamu kweli?

Vinavyofanya asitoke akilin mwako ni hvyo vitu vyake mlivyokuwa mnashare. Na hatoka kichwan mwako mpaka pale utakapo vitupa au yeye mwenyewe kuja kujidhihilisha kwako kwa mara nyingne tena ( kama hakuwa mtu lakin)

Vipi ndotoni huwa hakutokei?
 
Nimempa mtu baadhi vyenye maana
Vitabu nimetupa
But hata vitabu vyenyewe na picha havitoki.
Ishu sio vitu.ishu ni yeye
Au mpenzi wa kwanza maishani ndo anakuwaga hivi?
 
Acha uongo wewe dada. Kwa nn unadanganya watu.Yule kijana yupo na alitembea na wewe muda wote huo.Kama unataka kumuona nitakusaida ila ni mgonjwa sana nicheki
 
Au umekosea nyumba mzee, ukute umekosea nyumba umenda nyumba ya watu wengine
 
Amina.na yataendelea kunikinga kama NI kweli si mtu.
Kiasi Fulani hisia zimepotea,kupenda na kudumu imekuwa mtihani.
Sina habari tena na mahusiano.nimemrudia Mungu kwa nia.
 
Umesema ni mwaka umepita sasa
 
Inawezekana umekosea nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…