Alikuwa binadamu kweli?

Duuu wap sas uwa unawap nasaha mkuu
 
Kwakweli ina umiza sana poleni sana hong kong.mtapata uhuru wenu kutoka china.
 
Hakuna kitu unachojibu unaruka ruka tu...sasa kuendeleza hoja zingine na wewe ni sawa na kutukana muda niliopoteza huko nyuma.
Jibu hoja zote ulizoziacha usipojibu usiniletee hoja zingine
Hoja ulizo dai sijanibu zote nimejibu na ukaandika post ambayo haina hoja yako kwa kuruka ruka na uoga.
 
Hakua Binadamu, na Una bahati, na uache kumfikilia..,.... Ili hiyo Bahati kidogo uliyonayo isije kupotea, ukajuta kuzaliwa....... Mm ni Muhanga, kila ulichosema was the same Kwangu, but Mm nilijua baada ya kuwa nimeumia tayari.
Fafanua kidg mkuu ilikuwaje

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hoja ulizo dai sijanibu zote nimejibu na ukaandika post ambayo haina hoja yako kwa kuruka ruka na uoga.
basi fresh saivi nishakujua...ukishindwa kitu unajitoa akili...sasaiv namim wembe ni uleule kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…