Alikuwa binadamu kweli?

Hakua Binadamu, na Una bahati, na uache kumfikilia..,.... Ili hiyo Bahati kidogo uliyonayo isije kupotea, ukajuta kuzaliwa....... Mm ni Muhanga, kila ulichosema was the same Kwangu, but Mm nilijua baada ya kuwa nimeumia tayari.
Unamaanisha nn kusema uliumia?!! Ulitapeliwa au ni nn?
 
Huyo jini alifanya kituko gani kwa hao wanafunzi na hatua gani zilichukuliwa
 
Kijana hapa utanyoosha maneno, ina maana nilichokiandika hakipo au unajitoa ufahamu ?

Hakuna mambo ya dini hapo, hapo nimeandika ukweli mtupu. Nataka utuambie kipi kimekupelekea kusema ya kuwa majini yanafugwa ?
kiwepo kisiwepo mimi sijui na sitaki kujua..usinilazimishe nijue unachojua au niamini unachoamini.
Mimi sijasema waislam wanafuga majini lakini wewe ndo wa kwanza kuileta hiyo concept halafu unataka tubishane au labda nikuulize kuna uhusiano gani kati ya uislam na majinni? maana mimi nimeongelea majinni wewe umedakia na waislam.
 
Nani kakimbia swali?unataka nikukibu unavotaka?unajua maana ya kukimbia?Narudia jibu langu la swali ambalo silikimbii kuwa Sina ushahidi na hamna anayeweza kuweka ushahidi fullstop..kama unabisha weka wewe ushahidi majini yapo utakuwa umeshashinda huu mjadala...ila kwasababu nawewe huwezi utaendelea kubwabwaja kuomba kitu nlichokuambia sina ili usitoe kitu ambacho umeclaim unacho.(in real sense huna)
Nikikuambia jana msituni niliona kunguru wa njano ntaweka ushahidi gani watu waamini?


Pili acha fallacy za kitoto uwepo wa A hauprove uwepo wa B...Sasa uwepo wa majonzi hauthibitishi Majinni yapo... mimi nasema majonzi sio jambo la kiimani ni jambo la kibaolojia maana hiyo ni responce to stimuli inaanzia kwenye ubongo..Kuna neurotransmitters na hormones zinaleta emotions kama majonzi,furaha etc.Sasa hivi vinapimika..hata brain activity wakati wa majonzi/furaha nk. inapimika ila Haimaanishi majini wanapimika

Tatu,Mambo ya mtume muhamad yanini tena...yani unalazimisha sana tuingie kwenye dini...haya tunaweza kuprove Nyerere alikuwepo kupitia historical sources tofauti tofauti za wakati wake(Au atleast within miaka 100) zikitaja alikuwepo mtu anaitwa Nyerere na sifa zake.Sasa sijui kama unaweza kufanya hivyo kwa Muhammad.
 
Huyo jini alifanya kituko gani kwa hao wanafunzi na hatua gani zilichukuliwa
Kuna kitu alikichukua katika hali isiyo kuwa ya kawaida.

Hatua zlizo chukuliwa ni wenzake katika binadamu wakaenda kushitaki kwa Mwalimu, kisha katika kipindi darasani Mwalimu akatoa nasaha kwa majini. Kadhia ikawa imeisha.
 
Unapoteza muda huna la kujibu.

Nakukanya tena usiwe unaandika usiyo yajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…