Alikuwa binadamu kweli?

Wapi huko mnakutana na majini kuwapa nasaha?
 
Mzimu wa watu wa kale!
 
mkuu acha kudream maisha mda unasonga ya kale ni kale...Halafu huyo jamaa hakukupenda kivile ndio alikubali mpotezane na huko aliko ana maisha yake na mwanamke anayempenda....Pia napata picha una matatizo kwenye mahusiano au umeachwa
 
mkuu acha kudream maisha mda unasonga ya kale ni kale...Halafu huyo jamaa hakukupenda kivile ndio alikubali mpotezane na huko aliko ana maisha yake na mwanamke anayempenda....Pia napata picha una matatizo kwenye mahusiano au umeachwa
Ni kisa tu nimeshare..sina plan hizo
 
oya mbona unazunguka palepale.
Nikuwekeeje yani picha au?
nshasema sina na siwezi kuweka ushahidi
Haya na wewe weka ushahidi kuwa majini yapo. usipende kuzungushana
Usikimbie swali kijana utakuwa una matatizo ya akili. Huko juu ulisema ulishuhudia kwa macho hapa unasema mambo ya kiroho hayathibitishiki. Usitufanye mazwazwa kama ulivyo wewe.

Pili, hoja yangu huwezi kuikwepa na mpaka uijibu kipi kilikufanya ukiri ya kuwa majini yana fugwa.

Tatu, vingapi vya kiroho lakini tuna ushahidi navyo, majonzi ni jambo la kihisia au la kimaad ?

Nne, leo hii hakuna mtu aliye muona Mtume Muhammad, ila tunaamino yupo kwa sababu na shahidi zipo, sasa usikimbie jukumu la kuthibitisha unayo yaamini.

Tano, nafanya hivi ili ujifunze na uache ukameme wa kuandika ujinga usio weza kuuthibitisha.
 
Hahaha mambo ya dini yameingiaje hapa?
Wewe unajua kila kitu nachokisikia?
Kijana hapa utanyoosha maneno, ina maana nilichokiandika hakipo au unajitoa ufahamu ?

Hakuna mambo ya dini hapo, hapo nimeandika ukweli mtupu. Nataka utuambie kipi kimekupelekea kusema ya kuwa majini yanafugwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…