Alikuwa binadamu kweli?

Nimecheka sana. Maliza kazi niliyokupa kwanza kisha nakupa ushahidi wa kuwa majini yapo.
Umetekenywa na jini Au?
Mimi nasema Haya mambo ya kiroho hayana ushahidi..

Lakini wewe kwasababu umeinsist kutaka ushahidi basi leta ushahidi majini yapo.
Ukiweza hata mimi nitajitutumua nilete ushahidi yanafugika.
 
Nacheka sana, kwahiyo kwa ujinga wako wa kuona ya kuwa hayana ushahidi ndiyo unakuwa muongo si ndiyo ? Sasa nakukanya tena mara nyingine usiwe unaandika mambo uiyo kuwa na elimu nayo.

Yaani swali langu hulikwepi na mpaka uthibitishe kisha namaliza na ushahidi ulio utaka toka kwangu.

Wewe ilikuwaje ukakubali ya kuwa kuna watu wanafuga majini mpaka unaamua kujenga hoja na kauli hiyo ?
 
Wewe unawajua majinni wote na watu wote duniani mpaka ujue hakuna mtu anayefuga jini?

Au toa sabab kwanini unaamini majini hayafugiki
Kijana acha uoga, usikimbie jukumu lako la kwanini umedai ya kuwa sisi Waislamu tunafuga majini ? Yaani kipi kilikufanya uaamini na ukubali hilo ? Usiruke ruke.
 
Jini sio mfugo wewe dogo, na wewe leta ushahidi wapi uliona zizi la kufigia majini?
kwani ndevu ni mfugo? hazifugiki?
Au unahisi kufuga mpaka uwe na banda au zizi?

Narudia tena maana naona hili swali hunijibu

Wewe unawajua majinni wote na watu wote duniani mpaka ujue hakuna mtu anayefuga jini?

Au toa sabab kwanini unaamini majini hayafugiki
 
Hakua mtu, believe me, wana uwezo wa kukupeleka kwenye Maisha wanayotaka wao, wakiamua Kipi uone Kipi usione.....
Now they are Watching you, ukionyesha ku mmiss anaweza rudi kwenye Maisha yako anytime, the rest yakawa Majuto.

Aisee.
 
Mimi niliona kwa macho yangu ndo nikakubali lakini haimaanishi huo ni ushahidi tosha kwa watu..Sasa kuna tofauti kati ya kwanini mimi binafsi niliamini na uwezo wa kuweka ushahidi kwa watu ni vitu viwili tofauti...mimi nishakubali sina ushahidi.
sasa wewe usikwepe swali langu
Mimi nishasema Haya mambo ya kiroho hayana ushahidi..

Lakini wewe kwasababu umeinsist kutaka ushahidi na umesema utauleta basi leta ushahidi majini yapo.
Ukiweza hata mimi nitajitutumua nilete ushahidi yanafugika.
 
Kijana acha uoga, usikimbie jukumu lako la kwanini umedai ya kuwa sisi Waislamu tunafuga majini ? Yaani kipi kilikufanya uaamini na ukubali hilo ? Usiruke ruke.
wapi nimedai nyie waislam mnafuga majini?
Yaani kusikia neno jini tu uislam umeshashtuka kama pete na kidole
 
Sasa tuwekee hicho ulichokiona, unaogopa nini kijana ? Maana kuna maswali nitakuuliza.
 
wapi nimedai nyie waislam mnafuga majini?
Yaani kusikia neno jini tu uislam umeshashtuka kama pete na kidole
Wewe ulisikia Wakristo ndiyo huwa wanaambiwa wanafuga majini ? Kijana inakuwaje unalipenda sana vazi la Uongo namna hii ?
 
Labda walibadili majina
Anasema babake alikimbia vita akiwa kijana zamani sana.so alivokuja huku akaweka makazi,nadhani majina alijipachika mapya ili wasitambue.
Nimehisi tu.

Huyo mtu kumtafuta ni kazi rahisi sana
Unaweza anzia ubalozi wa comoro
Upate wa comoro waliopo tz miaka kumi iliyopita halafu uulize wa comoro walioishi Tabata..
Upate wa comoro waliosoma udsm kipindi hiko...
Binafsi naona ni rahisi mno kumpata
 
Okay boss
Ntajaribu
Ila sasa ndo nkute kitu sio real na kama vile walimwengu wanavosema hapa ni jini.
Hahaa
 
Okay boss
Ntajaribu
Ila sasa ndo nkute kitu sio real na kama vile walimwengu wanavosema hapa ni jini.
Hahaa

Sio kweli
Hata admission office ya udsm unaweza anzia pia
Mtajie mwaka na jina la mtu
Na kama alisoma kama raia WA nje rahisi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…