Alikosa nini huyu? Ipe neno picha

Alikosa nini huyu? Ipe neno picha

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,463
Reaction score
17,960
IMG_3819.JPG
 
Anachafua kaunda suti yake bure, sijui hao anaoongea nao kama wanamuelewa anataka nini.
 
Huyu ni Deo Filikujombe au ni macho yangu?,yaani jamaa anavyoonekana kujiamini vile ndo huyu anafanya manyanga hapa!!kwani si aseme tu sera yake?sasa kupiga magoti ndo nini?
 
Huyu ni Deo Filikujombe au ni macho yangu?,yaani jamaa anavyoonekana kujiamini vile ndo huyu anafanya manyanga hapa!!kwani si aseme tu sera yake?sasa kupiga magoti ndo nini?

hiyo ndio siasa braza amka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom