Naona kipindi hiki wabunge wengi wako majimboni kwao wakiwambia wananchi mpaka sasa wamefanya nini!anawanyoa kimya kimya sasa hivi ..
Omba uhai Mungu wako atajibu maombi.Natamani niwe hai ili nishuhudie nini kitatokea 2015
sinajua watu wanataka kupumzika saizi wako ktk viroba kwenda mbele
anawanyoa kimya kimya sasa hivi ..
Ni jirani yangu, nimemuona jana nyumbani kwake Tegeta kibaoni.
Ni jirani yangu, nimemuona jana nyumbani kwake Tegeta kibaoni...